Sophoghani
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 395
- 626
Chato
ChristianNaomaba nisaidie kutafuta jina la mtoto wangu wa kiume. Ila lianze na herufi C
Naomaba nisaidie kutafuta jina la mtoto wangu wa kiume. Ila lianze na herufi C
Umeambiwa linaloanzia na Chahahaaa
[emoji23] [emoji23] hata ku Google ameshindwaWrite your reply...Mi huwa nashindwa kushangaa mtu anapoomba asaidiwe jina la mtoto khaaa[emoji23] mimi mimba ikiwa na wiki tu huwa nakua na majina zaidi ya 10,
mimba ubebe au ubebeshe wewe afu uje uombe watu wakushauri majina huna ndugu au wazazi wewe[emoji53][emoji48]
Chrysostom (Tom/Chris)Naomaba nisaidie kutafuta jina la mtoto wangu wa kiume. Ila lianze na herufi C