Naomba jina la mtoto wa kiume linaloanza na C

Naomba jina la mtoto wa kiume linaloanza na C

Write your reply...Mi huwa nashindwa kushangaa mtu anapoomba asaidiwe jina la mtoto khaaa😂 mimi mimba ikiwa na wiki tu huwa nakua na majina zaidi ya 10,
mimba ubebe au ubebeshe wewe afu uje uombe watu wakushauri majina huna ndugu au wazazi wewe😕😈
Wiki tuu au years before birth watu tushajipangiaga majina tunabadili tuu kichwani overtime lol
 
Naomba nikuchagulie jina ukilipenda sawa ila n zuri muite CLINTON
 
Back
Top Bottom