Naomba ideas Foreign bank a/c

Goldman

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
1,930
2,397
Naomba ideas, kama nchi zilizoendelea zinatoa mikopo kwa riba ndogo sana na wana mfumo pia wa credit cards.
Kwa mimi ambaye niko Tz kuna uwezekano wa kufungua a/c abroad halaf saving zangu zikanipa credit card ambayo nikatumia huku kwetu Tz? Pia riba yake inaweza kuwaje kama nalenga matumizi ya hapa kwetu? Na pia niwe na deposit huku huku Tz?
 
mkuu huwa kama una account ya bank ya nje ukitumia hapa bongo uwa service charge ya huwa kama dollor moja hivi per transaction kuhusu deposit embu jaribu kuchat na bank yoyote say standard chartered au bancabc uwaone maana hao ndio foreign bank baadhi yao..
 
Tukupe ushauri au mawazo kwa lugha gani?, maana yake kichwa cha habari umechanganya kiswahili na kingereza, maelezo yakao hali kadhalika, sasa tutumie lugha ipi kukushauri???????
 
Naomba ideas, kama nchi zilizoendelea zinatoa mikopo kwa riba ndogo sana na wana mfumo pia wa credit cards.
Kwa mimi ambaye niko Tz kuna uwezekano wa kufungua a/c abroad halaf saving zangu zikanipa credit card ambayo nikatumia huku kwetu Tz? Pia riba yake inaweza kuwaje kama nalenga matumizi ya hapa kwetu? Na pia niwe na deposit huku huku Tz?

unaweza kufungua a/c abroad na ukapewa debit/credit cards. wacheki jamaa hawa. DG Jameson Co,
 
Back
Top Bottom