ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,568
- 44,784
Mwenye hio audio au video au hotuba ya maneno siku Rais Nyerere anatangaza azma ya Serikali kuhamia Dodoma Jambo ambalo Rais Hayati Magufuli alilitimiza.
Ili IWEJE hebu Wakati Mwingine tumieni Akili kwenye Mambo yenye TIJA Kwa TAIFA kama KUDAI KATIBA MPYA na KUPINGA UBAMBIKIAJI wa KESI leo MBOWE kesho Anaweza kuwa BABA yako Mdogo kule KIJIJINI kwenuMwenye hio audio au video au hotuba ya maneno siku rais nyerere anatangaza azma ya serikali kuhamia dodoma Jambo ambalo raisi Magufuli alilitimiza.
Mwaka 1973???? Atakaeipata hakika hata mimi akinipa namba zake nitamtumia zawadi kwa utunzaji hu mzuri wa kumbukumbuMwenye hio audio au video au hotuba ya maneno siku rais nyerere anatangaza azma ya serikali kuhamia dodoma Jambo ambalo raisi Magufuli alilitimiza.
Kazi aliyoianzisha nyerere imekuja kuendelezwa na magufuli RIP
Mwenye hio audio au video au hotuba ya maneno siku Rais Nyerere anatangaza azma ya Serikali kuhamia Dodoma Jambo ambalo Rais Hayati Magufuli alilitimiza.
Asante SanaUamuzi wa Dodoma kuwa Makao Makuu ya nchi ulifikiwa katika Mkutano Mkuu wa 16 wa TANU uliofanyika tarehe 01 Oktoba 1973 ambao uliazimia Makuu Makuu ya nchi yahamishwe kutoka Dar Es Salaam kwenda Dodoma.
Baadhi ya nyaraka zinaonesha kuwa sababu za kuhamishia Makao Makuu jijini Dodoma ni kama ifuatavyo.
Dodoma iko katikati ya nchi na kwenye kitovu cha mawasiliano ya kitaifa (Hali ya kijiografia - Mji uko katikati ya nchi). Dodoma ipo karibu sana na Arusha ambayo ni Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Dodoma ipo mahali pema kwa hali ya usalama wa nchi na kuwa hewa yake nzuri ni muafaka zaidi katika hali ya ufanyaji wa kazi.Maelezo zaidi naomba upitie picha zilizoambatanishwa hapa.
Pia kwa taarifa zaidi tafadhali tafuta vitabu vifuatavyo:
Sura ya Dodoma kimeandikwa na Mamlaka ya Makao Makuu (1978). A portrait of Dodoma - Capital Development Authority (1975).
View attachment 1883931
View attachment 1883930View attachment 1883936View attachment 1883937View attachment 1883938
View attachment 1883940
Uamuzi wa Dodoma kuwa Makao Makuu ya nchi ulifikiwa katika Mkutano Mkuu wa 16 wa TANU uliofanyika tarehe 01 Oktoba 1973 ambao uliazimia Makuu Makuu ya nchi yahamishwe kutoka Dar Es Salaam kwenda Dodoma.
Baadhi ya nyaraka zinaonesha kuwa sababu za kuhamishia Makao Makuu jijini Dodoma ni kama ifuatavyo.
Dodoma iko katikati ya nchi na kwenye kitovu cha mawasiliano ya kitaifa (Hali ya kijiografia - Mji uko katikati ya nchi). Dodoma ipo karibu sana na Arusha ambayo ni Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Dodoma ipo mahali pema kwa hali ya usalama wa nchi na kuwa hewa yake nzuri ni muafaka zaidi katika hali ya ufanyaji wa kazi.Maelezo zaidi naomba upitie picha zilizoambatanishwa hapa.
Pia kwa taarifa zaidi tafadhali tafuta vitabu vifuatavyo:
Sura ya Dodoma kimeandikwa na Mamlaka ya Makao Makuu (1978). A portrait of Dodoma - Capital Development Authority (1975).
View attachment 1883931
View attachment 1883930View attachment 1883936View attachment 1883937View attachment 1883938
View attachment 1883940
We noma, asante sanaUamuzi wa Dodoma kuwa Makao Makuu ya nchi ulifikiwa katika Mkutano Mkuu wa 16 wa TANU uliofanyika tarehe 01 Oktoba 1973 ambao uliazimia Makuu Makuu ya nchi yahamishwe kutoka Dar Es Salaam kwenda Dodoma.
Baadhi ya nyaraka zinaonesha kuwa sababu za kuhamishia Makao Makuu jijini Dodoma ni kama ifuatavyo.
Dodoma iko katikati ya nchi na kwenye kitovu cha mawasiliano ya kitaifa (Hali ya kijiografia - Mji uko katikati ya nchi). Dodoma ipo karibu sana na Arusha ambayo ni Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Dodoma ipo mahali pema kwa hali ya usalama wa nchi na kuwa hewa yake nzuri ni muafaka zaidi katika hali ya ufanyaji wa kazi.Maelezo zaidi naomba upitie picha zilizoambatanishwa hapa.
Pia kwa taarifa zaidi tafadhali tafuta vitabu vifuatavyo:
Sura ya Dodoma kimeandikwa na Mamlaka ya Makao Makuu (1978). A portrait of Dodoma - Capital Development Authority (1975).
View attachment 1883931
View attachment 1883930View attachment 1883936View attachment 1883937View attachment 1883938
View attachment 1883940
Ahsante sanaUamuzi wa Dodoma kuwa Makao Makuu ya nchi ulifikiwa katika Mkutano Mkuu wa 16 wa TANU uliofanyika tarehe 01 Oktoba 1973 ambao uliazimia Makuu Makuu ya nchi yahamishwe kutoka Dar Es Salaam kwenda Dodoma.
Baadhi ya nyaraka zinaonesha kuwa sababu za kuhamishia Makao Makuu jijini Dodoma ni kama ifuatavyo.
Dodoma iko katikati ya nchi na kwenye kitovu cha mawasiliano ya kitaifa (Hali ya kijiografia - Mji uko katikati ya nchi). Dodoma ipo karibu sana na Arusha ambayo ni Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Dodoma ipo mahali pema kwa hali ya usalama wa nchi na kuwa hewa yake nzuri ni muafaka zaidi katika hali ya ufanyaji wa kazi.Maelezo zaidi naomba upitie picha zilizoambatanishwa hapa.
Pia kwa taarifa zaidi tafadhali tafuta vitabu vifuatavyo:
Sura ya Dodoma kimeandikwa na Mamlaka ya Makao Makuu (1978). A portrait of Dodoma - Capital Development Authority (1975).
View attachment 1883931
View attachment 1883930View attachment 1883936View attachment 1883937View attachment 1883938
View attachment 1883940
Sababu zote hizi zimepitwa na wakati na hazina tija tena.Uamuzi wa Dodoma kuwa Makao Makuu ya nchi ulifikiwa katika Mkutano Mkuu wa 16 wa TANU uliofanyika tarehe 01 Oktoba 1973 ambao uliazimia Makuu Makuu ya nchi yahamishwe kutoka Dar Es Salaam kwenda Dodoma.
Baadhi ya nyaraka zinaonesha kuwa sababu za kuhamishia Makao Makuu jijini Dodoma ni kama ifuatavyo.
Dodoma iko katikati ya nchi na kwenye kitovu cha mawasiliano ya kitaifa (Hali ya kijiografia - Mji uko katikati ya nchi). Dodoma ipo karibu sana na Arusha ambayo ni Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Dodoma ipo mahali pema kwa hali ya usalama wa nchi na kuwa hewa yake nzuri ni muafaka zaidi katika hali ya ufanyaji wa kazi.Maelezo zaidi naomba upitie picha zilizoambatanishwa hapa.
Pia kwa taarifa zaidi tafadhali tafuta vitabu vifuatavyo:
Sura ya Dodoma kimeandikwa na Mamlaka ya Makao Makuu (1978). A portrait of Dodoma - Capital Development Authority (1975).
View attachment 1883931
View attachment 1883930View attachment 1883936View attachment 1883937View attachment 1883938
View attachment 1883940
Tupo pamoja.Asante Sana
AsanteMkuu Hongera.
Shukrani, tupo pamoja.We noma, asante sana
🙏🙏🙏🙏Ahsante sana