CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
I miss you gfsonwinyaan wewe!!!!!
Ushawahi Ota ndoto yyte ikawa kweli?
Mara nyingi zinakuwa kweli, ingawa haziwi direct na kile nilichokiota. Lakini huwa ishara ya kitu fulani.
Basi anaweza akawa wa CCM.
una matatizo nashauri uende hospitalHabarini,
Wadau usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto Mbunge mmoja machachari wa CDM amekufa kifo chenye utata mpaka polisi wakaingilia kati.
Eneo alilofia kulikuwa na fujo mpaka mabomu ya machozi na risasi zilitumika kutawanya watu.
Dah, naomba hii ndoto isiwe kweli aisee!!!
una matatizo nashauri uende hospital
Washauri waache vurugu na maandamano lasivyo ndoto yako itatimia!Kwa yanayoendelea kambi ya upinzani Bungeni...
Mmmmhhh... Bado naomba hii ndoto isiwe kweli!!!
Habarini,
Wadau usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto Mbunge mmoja machachari wa CDM amekufa kifo chenye utata mpaka polisi wakaingilia kati.
Eneo alilofia kulikuwa na fujo mpaka mabomu ya machozi na risasi zilitumika kutawanya watu.
Dah, naomba hii ndoto isiwe kweli aisee!!!
LOV YOU SO MUCHKwa yanayoendelea kambi ya upinzani Bungeni...
Mmmmhhh... Bado naomba hii ndoto isiwe kweli!!!
yaan wewe!!!!!
Lengo lako uje utuambie ulitabiri. Hafi mtu pamoja na kuota kweliHabarini,
Wadau usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto Mbunge mmoja machachari wa CDM amekufa kifo chenye utata mpaka polisi wakaingilia kati.
Eneo alilofia kulikuwa na fujo mpaka mabomu ya machozi na risasi zilitumika kutawanya watu.
Dah, naomba hii ndoto isiwe kweli aisee!!!
Lengo lako uje utuambie ulitabiri. Hafi mtu pamoja na kuota kweli
Hongera kwa kushare ulichoota ila watu hawajaipokea ndoto kama ndotoMie sio mtabiri mkuu... bali nilishare nilichokiota