Ili mtengeneze na nyinyi hati kama hiyo kwa bara...mnaona wanafaidi ehe!
Wachaga kwa pesa mkuu acha tu
Hivi Maalimu Seifu ni Katibu Mkuu wa Maisha CUF?
Mkuu, hii post yako inahusiana na hii thread?
Wewe mwanachama wao uliwahi kuiona hiyo hati?
Nataka kufahamu maudhui ya kutaka hati ...
nakushauri fika ofisi za CCM au CUF utapewa.
Kama kweli basi tuwekee hapa mkuu
sio ofisi za serikali?? I pressed CDM to start from perusing this 'contract' na hoja zote wwazijenge kutokea humo ili kuepuka migongano isiyo ya lazima, none dare to do that
wew mkuu unakuja na kihoja, kwa nini muafaka usiwekwe kwenye website ya serikali kila mmoja akauona, what if CUF imeungana na CCM na kuunda CCMCUF??????
Chadema wangefanya assignment kidogo tu wangegundua mengi ya kuwasaidia wazenj na hivyo kuiteka zenj kama wimbo wa mbagala!!

Jamaa ametoa namna muafaka ulivyofikiwa lete hoja zakoJamani mniwie radhi kama hati ya muafaka kati ya ccm na cuf zanzibar ilishawahi kubandikwa hapa janvini. Just out of curiosity, natamani kusoma hiyo hati ili nitafute ukweli/uongo wa hizi tuhuma kwamba CUF siyo chama cha upinzani. Lakini pia tujue kama vyama vingine vina nafasi ya kujiunganisha kwenye huo muafaka au la.
Mwenye nayo please?
Jamani bado naomba hii hata, sijapata
mkuu bado unadhani utapata!??jamani bado naomba hii hata, sijapata
aaa bana, nilidhani wewe mmojawao?