Bongo Trust
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 253
- 249
Shukran bossKila la kheri
Ni kadirio la Tsh 29,000 bossKwamba Kwa siku unaweza kuingiza kiasi gani?
Sawa bossNi pm
Kuna Bajaj jamaaa yangu anayo mafinga kama hajapata mtu naeza kukuunganisha, nitampigia.
Angalizo:uwe tayari kuandikiana kwa mwanasheria, polisi, pia mahakamani
Kweli boss hapo inaongezeka bima 95000 na Sumatra 22000 kwahiyo jumla inakua 6,817,000Hilo guta mpaka likaa barabarani kila kitu bei gani jumla maana umeweka bei ya kununua tu.
Halafu mbona mahesabu yako ni kama hayana uhalisia; umesema makadario ya kika siku ni shs 29000/=. Hii ukizidisha kwa siku saba (wiki), unapata shs 203000/=, na umesema kila wiki unapeleka kwa bosi shs 200000/=, ina maana kwa kila wiki wewe utaambulia shs 3000/=! Je, ulikusudia kusema hivyo au umekosea kuandika?Kweli boss hapo inaongezeka bima 95000 na Sumatra 22000 kwahiyo jumla inakua 6,817,000
Sina maana hiyo mkuu nilicho kadiria kwenye 29000 ni hela ya marejesho ila maana hata ukigawa 200000 kwa 7 unapata 28571.42.. ndio nikapiga approximation ya 29000.Halafu mbona mahesabu yako ni kama hayana uhalisia; umesema makadario ya kika siku ni shs 29000/=. Hii ukizidisha kwa siku saba (wiki), unapata shs 203000/=, na umesema kila wiki unapeleka kwa bosi shs 200000/=, ina maana kwa kila wiki wewe utaambulia shs 3000/=! Je, ulikusudia kusema hivyo au umekosea kuandika?
Yeah huku biashara ipo bossYanalipa huko inaonekana!
😂😂😂Kwanza huku milima, guta la baiskeli isingewezekanaNkajuwa Guta la kunyonga ndiyo milioni 6.7,kumbe Guta la moto.Afadhali ya la moto maana la kunyonga linaweza kutoa Mshipa.