kiukweli nimempa mtu anisaidie kuiweka ubuntu kwenye pc yangu akanambia anasikia kuwa ukitaka kuweka programme kwenye ubuntu zinakataa au nyingine mpama uwe online ndo ziweze kuwekwa huko,waungwana naomba mnishauri au kunielewesha njia mbadala ya kuweka hizo programme
Hata za windows ni hivyo hivyo la, uwe umetengeneza na kuipaki wewe au labda unayo katika kisahani au diski-haraka. Ubuntu, faili la kuingiza katika mashine yako laweza kuwa katika namna ya debian (.deb) au chanzo ambacho kinahitaji kupikwa kisha kuingizwa katika mashine husika (compile and install). Hii ni sawa na mafaili ya .msi au setup.exe kwa Windows. Kwa hiyo kwa hilo hakuna tofauti.program nyingi za ubuntu zinahitaji uwe online uweke source za kuinstall n.k
lakini unaweza kutumia njia mbadala tumia hii software inaitwa wine WineHQ - Run Windows applications on Linux, BSD, Solaris and Mac OS X ambayo utainstall kwa mara ya kwanza ukiwa online then baada ya hapo utaweza kufanya installation ya windows application kama Microsoft Office n.k ukiwa offline
nyasiro
Hata za windows ni hivyo hivyo la, uwe umetengeneza na kuipaki wewe au labda unayo katika kisahani au diski-haraka. Ubuntu, faili la kuingiza katika mashine yako laweza kuwa katika namna ya debian (.deb) au chanzo ambacho kinahitaji kupikwa kisha kuingizwa katika mashine husika (compile and install). Hii ni sawa na mafaili ya .msi au setup.exe kwa Windows. Kwa hiyo kwa hilo hakuna tofauti.
Labda tu tofauti ni kuwa kwa usalama zaidi Linux wanakusaidia kupakua na kuingiza katika tarakirishi yako bila kuhangaika na toka katika bohari zao!
Wine ni kiigiza (emulator) kwa ajili ya kuweza kutumia programu za MS Windows katika Linux. Kwa hiyo ni gamba juu ya Linux ambalo linaigiza kama Windows ili kuweza kukimbiza na kutumia programu za Windows kama uko ktk windows. Sio njia mbadala bali ni suluhisho la tatizo la kushindwa kutumia mazao ya Microsoft Windows
BH,
CTO
Wine inapaswa kuwa mstari wa mwisho baada ya kukosa kitu kinachofanana katika Linux. Mfano kuna haja gani ya kutumia Photoshop na Wine wakati unaweza kutumia GIMP ikiwa katika mazingira yake ya asili? Au MS Office wakati Kuna Libre (Kwa wale ambao vikorombwezo sio kitu kikubwa sana)?uko sawa ila ninachoongela ni urahisi na kusave time. imagine tayari una .msi au setup package zako kwa ajili ya windows ambazo size zake ni GB nyingi na unataka kuhamia ubuntu sasa kuna haja gani ya kuanza kuhangaika na kuanza kutafuta na .deb nyingine wakati kuna hiyo wine -- ms windows layer ambayo inaweza kufanya mengi kama upo kwenye windows. inakuwa ni useless unless kama unataka kuongeza mizigo.
Wine inapaswa kuwa mstari wa mwisho baada ya kukosa kitu kinachofanana katika Linux. Mfano kuna haja gani ya kutumia Photoshop na Wine wakati unaweza kutumia GIMP ikiwa katika mazingira yake ya asili? Au MS Office wakati Kuna Libre (Kwa wale ambao vikorombwezo sio kitu kikubwa sana)?
On track!Kwa sasa karibu kila software ya windows unaweza kuipata ikiwa na version ya linux hii pia ni nzuri kwani performance unayoipata unapotumia wine siyo 100% kama ungetumia kwenye windows. kwa mfano kuna kipindi nilinstall skype ya windows kwenye ubuntu kutumia wine yani sikuinjoy manake ilikuwa inasumbua ku sign-in lakini nilipoweka skype ya linux cjapata tatizo kabisa. mtu unapata haja ya kutumia wine pale unapoona baadhi ya features unazozipata katika windows version hazipo kwenye ubuntu.
Ulishasikia ugonjwa unaitwa Microsoftiasis psychobrain bender?mfano linux ver ya Skype huwa hainipi mzuka kuitumia kabisa, hata libre office hainivutii mpaka nimeweka ms office....!
On track!
Ulishasikia ugonjwa unaitwa Microsoftiasis psychobrain bender?
we engineer gani unaogopa Ubuntu na unamshaur mtu aogope kama wewe? nimetumia Ubuntu,Mandriva sasa nina Fedora 14 na wala sina hata degree wewe prof. unasema ni ngumu? kama umezoea xp usiwatishie wenzako.Linux system ni nzuri na kama ulikuwa hujui ukitumia tu linux unapanua wigo wa kufikiri kwa kiasi fulanini ngumu tofauti na windows pia inatumia commands kufanya installation za software zingine tofauti na window kaziyako kuclick setup na next and finish, kifupi iko complicated zan windows.
we engineer gani unaogopa Ubuntu na unamshaur mtu aogope kama wewe? nimetumia Ubuntu,Mandriva sasa nina Fedora 14 na wala sina hata degree wewe prof. unasema ni ngumu? kama umezoea xp usiwatishie wenzako.Linux system ni nzuri na kama ulikuwa hujui ukitumia tu linux unapanua wigo wa kufikiri kwa kiasi fulani
mkuu download software inayoitwa UNetbootin hii itakusaidia ku extract files za ubuntu to flash disk na kufanya installation bila kufanya burning, after installation unaweza kum google jinsi ya kuextract hayo mafiles kwenda kwenye flash disknashukuru TENA kwa maujanja mnaonipa na ninazidi kuelimika juu ya ubunntu,tafadhalini sana waungwana nimetafuta hii window ya ubuntu na nikapata ambayo ni 12.04 LTS i389.iso,tatizo linalonikabili na ninaomba mnielekeze je naweza ku burn hiyo windo ikiwa hivyo hivyo na kujaitumia kwenye pc yangu na ikafanya kazi vizuri au mpaka nii extract kama kawaida au pia wakati wa kui extract kuna program yake ya kuitumia?
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWENU NINYI NYOTE MNAOTUSHAURI NA KUTUELEWESHA
ninaomba mnielekeze je naweza ku burn hiyo windo ikiwa hivyo hivyo na kujaitumia kwenye pc yangu na ikafanya kazi vizuri
nashukuru TENA kwa maujanja mnaonipa na ninazidi kuelimika juu ya ubunntu,tafadhalini sana waungwana nimetafuta hii window ya ubuntu na nikapata ambayo ni 12.04 LTS i389.iso,tatizo linalonikabili na ninaomba mnielekeze je naweza ku burn hiyo windo ikiwa hivyo hivyo na kujaitumia kwenye pc yangu na ikafanya kazi vizuri au mpaka nii extract kama kawaida au pia wakati wa kui extract kuna program yake ya kuitumia?
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWENU NINYI NYOTE MNAOTUSHAURI NA KUTUELEWESHA
Mkuu kaburu mdogo mim mbona ninayo kwenye Dsktop yangu Windows 7 ,Windows 8 na Zorin OS na hakuna matatizo yoyote yale ujuwe naman ya kuweka kila moja uiweke iwe na Partititon Hard disk yake umekula vizuri jaribu au uliza zaidi namna ya Ku install Ubuntu kwenye Windows 7?kwa kweli mimi ni mtumiaji wa window 7 na pindi nitakapo kubadili kwenda kwenye ubuntu rafiki zangu hunambia kuwa ni ngumu kutumia na pia kila softwire lazima iwe ya ubuntu maana haingiliani na driver nyingine,tafadhali mwenye uelewa na ujuzi juu ya ubuntu naomba anishauri vizuri
ni ngumu tofauti na windows pia inatumia commands kufanya installation za software zingine tofauti na window kaziyako kuclick setup na next and finish, kifupi iko complicated zan windows.