ismail hassan
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 685
- 1,612
Habari zenu wakuu.
Nimekuwa nikizitamani sana hizi PC.
Nimekuwa nikitamani kuhamia huku mazima niachane na mambo ya HP.
Shida ni kwamba sijawahi kuitumia kabisa.
Je! Haitiniletea shida? Kuhusu kuhamisha files maana baadhi ya watu naona wakiiponda.
Wengine wakisema kwamba kuna baadhi ya program lazma ulipie mfano wa program za Microsoft word, excel, access, publisher na power point.
Mimi nitakuwa bize nayo hasa kwenye hizo program na movies kidogo, na baadhi ya program za accounting package kama QuickBook, Tally, MUSE na TANePS.
Je! Macbook itanifaa?
Kitu kingine ni budget yangu naona haitozidi 1 mill.
Nataka kuchukua refurbished hata nikipata macBook air sio mbaya. Na je! Ni ya mwaka gani itakuwa bora kwangu kulingana na matumizi yangu? Mana naona mitandaoni zipo za kuanzia 2011.
Naombeni ushauri wakuu.
Natanguliza shukrani.