Kifai
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 816
- 173
Jamani habari zenu watu wa Mungu, naombeni mwenye utaalamu wa simu aina ya Nokia Lumia, nimekuwa naipenda sana hiyo cm ila zipo za aina nyingi zinanichanganya, sasa basi, naombeni mwenye kuifahamu lumia yenye program nzuri anifahamishe na anielezee itakuwa poa sana, nawakilisha wakuu