Naomba CV za wabunge Esther Bulaya na John Heche

Unapoangalia CV ya Mandela Jeff Bross Jack Ma, Zitto Lissu Nyerere Tulia Heche Bulaya huwa kuna kitu cha kujifunza kutoka kwao. Sasa nyie mkiobwa CV za viongozi wenu wa chama mnaleta itikadi za kisiasa. Hapa ndio tunaona kuwa hakukuwa na ulazima wa kuhoji Kuhusu ile PhD
 
Cv zao hazijashiba sana kwa mfano sina uhakika kama Kuna mwenye zaidi ya shahada moja ila ukweli ni kwamba michango yao na fikra zao hasa ndani ya bunge ni za Hali ya juu wabunge wa chama chetu jumlisha mawaziri watasubiri sana na masivii zao kufikia level zao ukiondoa mzee Mahiga. .Lukuvi..Bashe. .nk
 
Msajiri angeongeza kipengele lazima mwenyekiti na katibu mkuu wa Chama Cha Siasa lazima awe na DEGREE moja sijui kile chama kingekuwaje.
 
Mange kimambi ebu sitisha mapumziko yako rudi upya watu wameanza mijadala ya kipuuzi uku ,baada ya kuhoji 1.5 trn zipo wapi wanahoji elimu ya Mwl John heche ambaye tunajua kabisa na watu wamemuona akisoma shahada yake ya Elimu na sanaa pale chuo cha SAUT mwanza

ila wanashindwa tafuta uhalali wa Daudi bashite ambaye ushahidi upo wazi kuwa mwizi wa elimu.
 
Back
Top Bottom