Simabwachi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2017
- 306
- 394
mbona ata uyo Bashite watu walimuona Alison’s Muccobs sijui na wapi alikosomea kuvua samaki sijuiMange kimambi ebu sitisha mapumziko yako rudi upya watu wameanza mijadala ya kipuuzi uku ,baada ya kuhoji 1.5 trn zipo wapi wanahoji elimu ya Mwl John heche ambaye tunajua kabisa na watu wamemuona akisoma shahada yake ya Elimu na sanaa pale chuo cha SAUT mwanza
ila wanashindwa tafuta uhalali wa Daudi bashite ambaye ushahidi upo wazi kuwa mwizi wa elimu.