riltz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 232
- 83
" Jimbo langu halina umeme, ninawashukuru kwa kusitisha matangazo ya 'live' ya Bunge. Wananchi wa jimbo langu walikuwa wanahangaika kuwasha jenereta ili kuona Bunge, sasa watatumia muda mwingi kwenda kulima shambani na kufanya shughuli zao za maendeleo" alisema Mbunge wa Geita vijijini, Joseph Msukuma (CCM): Source EATV
Guys, mimi Sismshangai....!
Guys, mimi Sismshangai....!