The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,959
- 13,427
Abdul mwana wa malkina anajadiliwa sana. Kama yupo mwenye cv yake aturushie.
Acha uchawa na uzwazwa. Kwani ni kosa kujua CV ya mteule na mrithi wa ufalme wa taifa letu? Mnaficha na kuumwa nini tukitaka kumfahamu? Kumbuka. Anaishi kwa fedha yetu.Wewe itakusaidia nini? Komaa na watoto wako
wabeba mabulungutuMtafute wenje au mbowe
wabeba mabulungutu
Tafuta taarifa za pesa badala ya kutafuta taarifa za watuAbdul mwana wa malkina anajadiliwa sana. Kama yupo mwenye cv yake aturushie.
Huo ni ubwege. Hujui kuwa ni vizuri kujua wanaokula fedha yetu bila stahiki?Tafuta taarifa za pesa badala ya kutafuta taarifa za watu
Tatizo mambo ya msingi ya kuku keep busyHuo ni ubwege. Hujui kuwa ni vizuri kujua wanaokula fedha yetu bila stahiki?
Kwani unajua muda wangu nautumiaje au unataka kunipangia nini cha kufikiria?Tatizo mambo ya msingi ya kuku keep busy
We hupendi kulamba asaliwabeba mabulungutu
Huenda alisoma Kamuzu Academy(Eton of Africa) Malawi.Abdul mwana wa malkina anajadiliwa sana. Kama yupo mwenye cv yake aturushie.
Mwambie mkewe mtarajiwa Lucia MwashambwaAbdul mwana wa malkina anajadiliwa sana. Kama yupo mwenye cv yake aturushie.
Baada ya kuwa busy mentally, emotionally and psychologically, unahitaji leisure time, ku relax. Ndipo watu huweza kuandika upuuzi uuonao mitandaoni. Bila hivyo utakuwa kilema wa akili.Tatizo mambo ya msingi ya kuku keep busy
Hata ungekuwa wewe ungekataa hela?Tatizo walitaka kumrubuni na mwenyekiti wetu na mabulugutu ya Dully,lakini inahitaji ujasili kukataa buyu la asali