Naomba connection ya kazi au internship Arusha

Joy8

New Member
Joined
Apr 14, 2025
Posts
2
Reaction score
2
Habari zenu,

Naombeni fursa ya kazi mimi ni mhitimu wa chuo mwaka 2023 nina degree ya Umeme, kwa mwenye connection naomba anisaidie niendelee ujuzi wangu nimezunguka sehemu mbalimbali lakini mpaka sas sijafanikiwa kupata kazi hivyo naombeni msaada wenu
 
Uzi huu tutaufufua Toka mwak Jana pole sana hakuna mchangiaji
 
Kupitia uzi huu inawezekana ikawa furusa kwa mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…