:hail:Bado sijafikia wakati wa kuota mvi japo siujui ni wakati gani au umri gani mtu anaanza kuota mvi,ila akili huwa inavurugika kabisa ninapozifikiria ,Hivi mlioota mvi ,hiizi zinaanza kuota sehemu gani ,kila siku nakusanya viookama vitatu na kuviweka ili nipate picha ya kichwa changu kwa 3D na kuzichunguza nywele kama kuna iliyochipua ,ila nasikia uking;oa moja zinaota mbili ni balaa ,na zikianza tu natafuta dawa ya kuuwa nywele.:A S-eek: