Edwin Canisio
Member
- Oct 2, 2013
- 7
- 1
Habari wana Jf..kuna vitu naviona ktk jamii yangu vinafanyika kinyume na utaratibu wa maisha ya mwanadamu...lakini naogopa kusema kwenye mkusanyko wa WanaJf. kwan masinichi kutokana na ID yangu watanitambua na kunifanyia kitu mbaya..Je, nifanyeje?