Naogopa kupima VVU!!!

Naogopa kupima VVU!!!

Mr Eggo

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
2,028
Reaction score
1,051
Kutokana na rafu ambazo nimekua nikicheza na nying zikiwa peku (ndizi na maganda sio mpango) nimejikuta nikiwa na zaidi ya hofu nikiwaza kupima vvu.

Kwa sababu nimeamua kutulia na mrembo mmoja ni dhahiri kwamba natakiwa nifanye hivyo ili kujihakikishia maisha na mrembo wangu ambae nataman awe mama watoto ila huo ujasiri sion pa kuutoa.

Wana mmu ushauri wenu please!
 
Tanzania bila ukimwi inawezekana.....African HIV free generation it begins with you...by screen

NAKUSHAURI UWE UNASIKILIZA SANA MATANGAZO YA UKIMWI-kama mko wangapi etc

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahahahahahaha sasa unaogopa nini mbona kawaida tu kwanza cku iz ukimw kama malaria tu wala hautishi
Mi kupima labda nizolewe na greda la manispaa ya Kinondoni. Hakuna binadamu anayeweza kunipeleka nikapimwe.
 
kutokana na rafu ambazo nimekua nikicheza na nying zikiwa peku(ndiz na maganda sio mpango),,nimejikuta nikiwa na zaid ya hofu nikiwaza kupima vvu,,,,
kwa sabab nimeamua kutulia na mrembo mmoja ni dhahir kwamba natakiwa nifanye hivyo ili kujihakikishia maisha na mrembo wangu ambae nataman awe mama watoto ila huo ujasiri sion pa kuutoa,,,wana mmu ushauri wenu please!

Umeanza kuharisha? Kilo zimepungua na hauna hamu ya kula? Ushauri ni kupima tu kwani hauna ujanja hata ufanye nini iko siku utakuwa hoi kwa magonjwa mengine na itabidi ukapimwe. Cha msingi pima sasa kabla haujamuambukiza huyo mtoto wa watu kwani ni dhambi kubwa sana.
 
Kama unampenda huyo uliyenaye basi nenda kapime...
 
Khaa! ukimwi ni janga la taifa! Kumbe na kupima ni janga too!
Mmmh! Ngoja ninyamaze mie!!
 
Hahahahahahaha sasa unaogopa nini mbona kawaida tu kwanza cku iz ukimw kama malaria tu wala hautishi

Kisa cha kujiua kwa mapresha nani anataka. Acha tu nibaki zangu hivihivi. Kama nna wadudu ntajua mbele ya safari.
 
Si ulitaka chai chai iweje ulalamike unaungua * 2

Juma Nature
 
Mi kupima labda nizolewe na greda la manispaa ya Kinondoni. Hakuna binadamu anayeweza kunipeleka nikapimwe.

Ukisikia mtu anauza folk lift nishtue please kuna jamaa yangu hapendi kufanya vipimo sasa inabidi nimpeleka kunakohusika
 
kutokana na rafu ambazo nimekua nikicheza na nying zikiwa peku(ndiz na maganda sio mpango),,nimejikuta nikiwa na zaid ya hofu nikiwaza kupima vvu,,,,
kwa sabab nimeamua kutulia na mrembo mmoja ni dhahir kwamba natakiwa nifanye hivyo ili kujihakikishia maisha na mrembo wangu ambae nataman awe mama watoto ila huo ujasiri sion pa kuutoa,,,wana mmu ushauri wenu please!

Mi kupima labda nizolewe na greda la manispaa ya Kinondoni. Hakuna binadamu anayeweza kunipeleka nikapimwe.

Sijui niite huu ni ushauri au la..lakini ndio ukweli! Unapohisi kuwa umecheza rafu nyingi, na una hofu sana kupima VVU ujue afya yako...basi mtu wa hivyo ndio mlengwa mkubwa wa kampeni nyingi za kuhusu kujikinga na maambukizi. Huku kujali kote wadau wanakoonyesha, na mabilioni ya shilingi kutumika..ni hasa kwa ajili ya watu wa kundi hili linalojihisi liko kwenye hatari (risk) kubwa ya kupata maambukizi.

Si kila mwenye tabia hatarishi ameambukizwa (japo anajiweKa katika uwezekano mkubwa wa kuambukizwa)...na si kila aliyeambukizwa basi ni mcheza rafu..toa huo unyanyapaa kwanza, kisha ndio utaona kupima maambukizi ya VVU ni jambo la kawaida na lenye manufaa hasa kama kwako ambapo unalenga kubadili tabia na kutulia na kuanzisha familia.

Unapoogopa/unapogoma kupima VVU mapema, fahamu kuwa itakuja tu siku ambapo utalazimika kupima..na mara nyingi ni baada ya VVU kuanza kusumbua, na magonjwa nyemelezi (opportunistic infections mfano TB, Meningitis, Pneumonia etc) yashatia nanga, utalazimika kupima ili uweze pata matibabu stahiki..na katika hali kama hii survival inaweza kuwa 50/50, kwani tayari CD4 ziko chini sana kiasi cha kuanza kuugua magonjwa nyemelezi.

Ni busara kupima mapema kabla hujaanza kupata dalili..ili 'kama' umeambukizwa, basi uanze dawa mapema wakati CD4 cells hazijashuka chini ya kiwango na kabla ya kuchoka kutokana na magonjwa nyemelezi, mara nyingi hapa survival na quality of life is guaranteed.

NB: HAIKUSAIDII KUOGOPA KWENDA KUPIMA SABABU...WENGI WANAOOGOPA KWENDA KUPIMA HUASSUME WAMESHAATHIRKA NA HIVYO KUENDELEA NA TABIA ZAO HATARISHI, NA HIVYO KUAMBIKIZWA HATA KAMA WALIKUWA HAWAJAAMBUKIZWA MWANZO...WENGI WANAOOGOPA KWENDA KUPIMA HULAZIMIKA KUPIMA WAKATI WAMEANZA KUUGUA NA WANAWEZA POTEZA MAISHA KWA KUCHELEWA MATIBABU, WAKATI WENGI WALIOKUWA NA UJASIRI WA KUPIMA MAPEMA WAKIKUTWA NA MAAMBUKIZI HUANZA MATIBABU MAPEMA NA WANAISHI MAISHA MAZURI TU!
 
Duh!!

Hii useful post imenigusa mtima asee. Naeza badili mawazo nikajivesha moyo wa kishujaa nikatia timu pale angaza.

Walah nakuapia nikipima nikakuta sijaukwaa, labda itokee niambukizwe kwa kula ugali. K zitasikia historia yangu. Baaas.

Ndo nshasema hivyo.
 
Ukisikia mtu anauza folk lift nishtue please kuna jamaa yangu hapendi kufanya vipimo sasa inabidi nimpeleka kunakohusika

Hahah sasa fork lift si atajump? Huyo dawa yake Katapila la Konoike.
 
Sijui niite huu ni ushauri au
la..lakini ndio ukweli! Unapohisi kuwa umecheza rafu nyingi, na una hofu
sana kupima VVU ujue afya yako...basi mtu wa hivyo ndio mlengwa mkubwa
wa kampeni nyingi za kuhusu kujikinga na maambukizi. Huku kujali kote
wadau wanakoonyesha, na mabilioni ya shilingi kutumika..ni hasa kwa
ajili ya watu wa kundi hili linalojihisi liko kwenye hatari (risk) kubwa
ya kupata maambukizi.

Si kila mwenye tabia hatarishi ameambukizwa (japo anajiweKa katika
uwezekano mkubwa wa kuambukizwa)...na si kila aliyeambukizwa basi ni
mcheza rafu..toa huo unyanyapaa kwanza, kisha ndio utaona kupima
maambukizi ya VVU ni jambo la kawaida na lenye manufaa hasa kama kwako
ambapo unalenga kubadili tabia na kutulia na kuanzisha familia.

Unapoogopa/unapogoma kupima VVU mapema, fahamu kuwa itakuja tu siku
ambapo utalazimika kupima..na mara nyingi ni baada ya VVU kuanza
kusumbua, na magonjwa nyemelezi (opportunistic infections mfano TB,
Meningitis, Pneumonia etc) yashatia nanga, utalazimika kupima ili uweze
pata matibabu stahiki..na katika hali kama hii survival inaweza kuwa
50/50, kwani tayari CD4 ziko chini sana kiasi cha kuanza kuugua magonjwa
nyemelezi.

Ni busara kupima mapema kabla hujaanza kupata dalili..ili 'kama'
umeambukizwa, basi uanze dawa mapema wakati CD4 cells hazijashuka chini
ya kiwango na kabla ya kuchoka kutokana na magonjwa nyemelezi, mara
nyingi hapa survival na quality of life is guaranteed.

NB: HAIKUSAIDII KUOGOPA KWENDA KUPIMA SABABU...WENGI WANAOOGOPA KWENDA
KUPIMA HUASSUME WAMESHAATHIRKA NA HIVYO KUENDELEA NA TABIA ZAO
HATARISHI, NA HIVYO KUAMBIKIZWA HATA KAMA WALIKUWA HAWAJAAMBUKIZWA
MWANZO...WENGI WANAOOGOPA KWENDA KUPIMA HULAZIMIKA KUPIMA WAKATI
WAMEANZA KUUGUA NA WANAWEZA POTEZA MAISHA KWA KUCHELEWA MATIBABU, WAKATI
WENGI WALIOKUWA NA UJASIRI WA KUPIMA MAPEMA WAKIKUTWA NA MAAMBUKIZI
HUANZA MATIBABU MAPEMA NA WANAISHI MAISHA MAZURI TU!

well said,,,umentia moyo angalau i cna start thinking of kutokuogopa nau!
 
kutokana na rafu ambazo nimekua nikicheza na nying zikiwa peku(ndiz na maganda sio mpango),,nimejikuta nikiwa na zaid ya hofu nikiwaza kupima vvu,,,,
kwa sabab nimeamua kutulia na mrembo mmoja ni dhahir kwamba natakiwa nifanye hivyo ili kujihakikishia maisha na mrembo wangu ambae nataman awe mama watoto ila huo ujasiri sion pa kuutoa,,,wana mmu ushauri wenu please!

aisee kupima kunataka moyo mi mwenyewe nilikuwa naogopa ila baadae nilipata sababu ya kwenda kupima,daah unaweza ukafa kwa woga bt jikaze we mwanaume bwana
 
kutokana na rafu ambazo nimekua nikicheza na nying zikiwa peku(ndiz na maganda sio mpango),,nimejikuta nikiwa na zaid ya hofu nikiwaza kupima vvu,,,,
kwa sabab nimeamua kutulia na mrembo mmoja ni dhahir kwamba natakiwa nifanye hivyo ili kujihakikishia maisha na mrembo wangu ambae nataman awe mama watoto ila huo ujasiri sion pa kuutoa,,,wana mmu ushauri wenu please!

Kapime itakufanya uwe na amani na tena utakusaidia kuwa na nidhamu whether majibu ni positive au negative. Bora kujua kuliko kuoa ukajikuta kwenye shida zisizokwisha. Lakini ukijua hata ukioa utajua jinsi ya kuendesha maisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom