Naogopa kupima VVU!!!

Naogopa kupima VVU!!!

Hahah sasa fork lift si atajump? Huyo dawa yake Katapila la Konoike.

Atakuwa caged,kuna mmoja nilimfuata na grader akanigeuza kituko as lile na minyororo halikati kona fasta sasa yeye akawa anakaa just beneath mnyororo alinifedhehesha!!!!!
 
Kapime itakufanya uwe na
amani na tena utakusaidia kuwa na nidhamu whether majibu ni positive au
negative. Bora kujua kuliko kuoa ukajikuta kwenye shida zisizokwisha.
Lakini ukijua hata ukioa utajua jinsi ya kuendesha maisha.

gach uu!!
 
Hofu yako haiwezi kubadilisha hali ya afya yako ni bora ukapima ili kufaham ukweli
 
Mi kupima labda nizolewe na greda la manispaa ya Kinondoni. Hakuna binadamu anayeweza kunipeleka nikapimwe.

watu kama nyie kupimwa huwa ni rahisi sana!

njia nimeshaijua!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom