Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Rafiki yako ni mtoto tu, akikua ataacha na kuitafuta mwenyewe dushelele. Pindi akilipata atahamia huko huko bila ya kushauriwa na mtu.
kumiliki dushelele nako kuna raha yake!!!!!!
Rafiki yako ni mtoto tu, akikua ataacha na kuitafuta mwenyewe dushelele. Pindi akilipata atahamia huko huko bila ya kushauriwa na mtu.
Na kinyume chake pia kuna raha yake, huwazii wapi utaipata, maana ukirudi tu unaikuta inatabasamu huku inakusubiri uitendee haki.kumiliki dushelele nako kuna raha yake!!!!!!
(**nikikaa nikifikiria swala la kuolewa huwa nakosa raha..nawaza kuwaacha wazazi wangu...mimi ni mtoto wa mwisho..na nyumbani tumebaki mimi., baba na mama...wengine woote washaoa na kuolewa.nawaza ntawaacha pekee...ntakimiss chumba changu n all the good things about home...my dad n mum treats me like a little child...while am a big girl working...26 yrs old.kazi zoote naweza meaning I can take care of others n myself coz kwa suala la kufanya kazi za nyumbani mama haendekezi ujinga...okey huu ndo umri wa kuolewa na nina boyfriend tunapendana and he fits to be my husband. .na yy anaona m the perfect wife material for him...tuko pamoja tangu chuo....hofu inakuja kuondoka kwetu na kwenda kuishi na mtoto wa mwanamke mwingine..aliyelelewa kwa malezi wanayoyajua wao....kazi itakuja pale atakapoonyesha true colours ndani ya ndoa...muda si mrefu atataka kupropose as nnaona dalili na ananipenda mnoo AS ameacha kazi mkoani na kuamua kuja kufanya kazi mkoa ninao ishi mimi ...my sistas wananiuliza unaolewa lini wewe..coz nna kazi nzuri.....nishaurini mwenzenu..wenzangu mlio ndoani...*****)MANENO YA BIDADA CLASSMATE WANGU
ewaaa, hapo umegonga mule mule..., hajaridhika na huyo kaka, wala sio umri, oh sijui sitaki kuwaacha wazazi... blabla... Hakika akimpata anaempenda kweli kweli hatajiuliza hilo swali. ataililia hiyo ndoa ili asiwe mbali nae kila siku.Mmmh! Mbona kama vile hujaridhika kuwa na huyo kaka!!?
Mkuu uko sahihi, ila sijakupata vizuri hapo kwenye namba 6.Faida za kuolewa
1. Utakuwa na uhakika wa " Dushelele" kila siku.
2. Utapunguza gharama za mawasiliano na huyo jamaa yako.
3. Ndoa inaongeza heshima ktk jamii. Huku kwetu kuna vikai vya kifamilia hauwezi shirki kama haujaoa.
4. Itakuondolea " dhambi" ya ZINAA
5. Utaongeza idadi ya ndugu.
6. Utapunnguza ghama za gesti.
n.k
Changanya na zako.
Mkuu uko sahihi, ila sijakupata vizuri hapo kwenye namba 6.
Lady doctor umenena kweli,
hakuna haja ya ku complicate mambo......,
ndoa ina raha yake aingie ye mwenyewe atashangaa alikuwa wapi siku zote
(**nikikaa nikifikiria swala la kuolewa huwa nakosa raha..nawaza kuwaacha wazazi wangu...mimi ni mtoto wa mwisho..na nyumbani tumebaki mimi., baba na mama...wengine woote washaoa na kuolewa.nawaza ntawaacha pekee...ntakimiss chumba changu n all the good things about home...my dad n mum treats me like a little child...while am a big girl working...26 yrs old.kazi zoote naweza meaning I can take care of others n myself coz kwa suala la kufanya kazi za nyumbani mama haendekezi ujinga...okey huu ndo umri wa kuolewa na nina boyfriend tunapendana and he fits to be my husband. .na yy anaona m the perfect wife material for him...tuko pamoja tangu chuo....hofu inakuja kuondoka kwetu na kwenda kuishi na mtoto wa mwanamke mwingine..aliyelelewa kwa malezi wanayoyajua wao....kazi itakuja pale atakapoonyesha true colours ndani ya ndoa...muda si mrefu atataka kupropose as nnaona dalili na ananipenda mnoo AS ameacha kazi mkoani na kuamua kuja kufanya kazi mkoa ninao ishi mimi ...my sistas wananiuliza unaolewa lini wewe..coz nna kazi nzuri.....nishaurini mwenzenu..wenzangu mlio ndoani...*****)MANENO YA BIDADA CLASSMATE WANGU
ewaaaaa hapo kwe kupunguza gharama za gesti nimepaelewa mkuuFaida za kuolewa