Naogopa kuoa nifanyeje?

Ndugu yangu kama umeamua kuoa wala usisikirize watu watu wanasemaje, au ndoa nyingine zina matatizo gani, sio kila tatizo linalotokea kwenye ndoa za watu na wewe zikutokee, mie nipo kwenye ndoa mwaka wa nne sasa na sijakutana na tatizo lolote ambalo kabla sijaingia kwenye ndoa watu walikuwa wanahadidhia. Muamini mwandani wako na yeye ajiamini, jiamini mwenyewe na yeye akuamini, mpende, muheshimu... na usiache kumuomba m/mungu, kwani mke bora kutoka kwa mwenyezimungu. Na hakuna kitu kitamu duniani kama ndoa yenye upendo, amani na uvumilivu.
 
DOGO WEE VIPI...

there are two things involved ...either UMEOWA...or...UMEOLEWA...UKIOA YOU R LUCKY...ukiolewa there are two things involved ...either Umeliwa kwa mujibu wa maumbile yako...or Kinyume cha maumbile....ukiliwa kwa mujibu wa maumbile YOU R LUCKY....ukiliwa kinyume there are two things involved..either Umeliwa na kondomu or umeliwa bare...ukiliwa na ndomu you are lucky ukiliwa bila ndomu there are two things involved...either umeliwa na KY-jelly or UMELIWA JINO KWA JINO....

but all in oll...mwanaume ukikubali kuolewa there is only one thing involved..UNAKUWA MENYU..AKA...SHOGA...BWABWA...MAJI MAGUMU...ETC...na heshma yako kwa jamii yooote inatoweka...KUAMUA NI KUCHAGUA...TAFAKARI CHUKUA HATUA
..ni maoni tuuu...finito
 
Hii wana JF

Umri wa kuoa ndio umewadia ila story za maisha ya ndoa ninavyosikia nakata tamaa kabisa ya kuoa. Nimeona wengi wanatoka nje ya ndoa wake kwa waume, cha ajabu ni kwamba watu kibao wanakuwa wanafahamu kuhusu cheating inayoendelea kasoro mume au mke anaezungukwa.

Kuwa single bila familia nayo issue!. Maisha ya kudate kama bf and gf ni easy kila mtu anakwao ni easy na matamu lkn nayo yanamwisho.

Hebu tusaidiane hapo

Regards

wewe tafuta dem uoe, acha kuzunguka mbuyu...
 
Uhondo wa ngoma ingia ucheze ....
kila mmoja ana exprince ya maisha yake ya ndoa kwako inaweza kuwa ni paradise mpya
Usiogope amini mwenyezi mungu atakuwezesha
 
DOGO WEE VIPI...

there are two things involved ...either UMEOWA...or...UMEOLEWA...UKIOA YOU R LUCKY...ukiolewa there are two things involved.

Mkuu, unanikumbusha joke moja, sijui mganda yule jamaa!?

Anasema: In life, there are two things involved:

You are either a man or a woman. If you are a woman, you are safe. If you are a man, there are two things involved. You are either a soldier or a civilian.

If you are civilian, you are safe but if you are a soldier, there are two things involved - you either stay in the office or sent in a battle field.

If you stay in the office, you are safe but if you are at the battle field, there are two things involved - you either kill a man or you get killed.

If you kill a man, you are safe but if you get killed, there are two things involved.

and on..and on....
 
Hii wana JF

Umri wa kuoa ndio umewadia ila story za maisha ya ndoa ninavyosikia nakata tamaa kabisa ya kuoa. Nimeona wengi wanatoka nje ya ndoa wake kwa waume, cha ajabu ni kwamba watu kibao wanakuwa wanafahamu kuhusu cheating inayoendelea kasoro mume au mke anaezungukwa.

Kuwa single bila familia nayo issue!. Maisha ya kudate kama bf and gf ni easy kila mtu anakwao ni easy na matamu lkn nayo yanamwisho.

Hebu tusaidiane hapo

Regards
kama huwezi kuoa, FANYA KINYUMECHAKE , YAANI oLEWA....SAMAHI.LAKINI USHAURI WANGU
 
Mkuu, unanikumbusha joke moja, sijui mganda yule jamaa!?

Anasema: In life, there are two things involved:

You are either a man or a woman. If you are a woman, you are safe. If you are a man, there are two things involved. You are either a soldier or a civilian.

If you are civilian, you are safe but if you are a soldier, there are two things involved - you either stay in the office or sent in a battle field.

If you stay in the office, you are safe but if you are at the battle field, there are two things involved - you either kill a man or you get killed.

If you kill a man, you are safe but if you get killed, there are two things involved.

and on..and on....

That was a joke of the year I tell you. Is that guy Ugandan or Nigerian?
 
rafiki, kama reason yako ya kukimbia kuoa ni cheating, sielewi kwa nini unayafurahia maisha ya kudate (BF/GF) kwani hayo cheating ni ya hali ya juu. siku hizi wadada wengi wanakuwa na more than 2 BFs sababu wanasema huwezi kuwa na uhakika na mmoja maana wakaka siku hizi hawaaminiki. labda kama una sababu nyingine.
na kama unavyosema hayo maisha huwa yana mwisho wake, kwa hiyo mwisho utafika tu na ndo utakapojikuta unachanganyikiwa sababu unalazimika kuoa wakati unaogopa.
wewe jitoe muhanga tu, oa uendelee na maisha maana utakuja kuoa anyway. cha msingi tu ni kumwamini mwenzio, na mawazo kuwa ana-cheat yasiwepo kabisa kichwani kwako maana hapo amani haitakuwepo kabisa moyoni mwako
 
Maisha ya ndoa ni wewe tu na mkeo wala usiumizwe na hizi simulizi za kiudaku. Suala la mkeo kumegwa au kutomegwa mara nyingi ni tabia. Mpende mkeo na wala usiwe na hofu nae kwani hapo ndipo matatizo huanzia kwa mfano kupekua pekua semi ya mkeo au hayo mambo ya kukosa amani mama akienda seminar. Tena unamwambia kishkaji tu kuwa kama shetani/tamaa zitamzidia atumie kinga tu we huna noma utashangaa atakavyokuwa na adabu....
 
Hii wana JF

Umri wa kuoa ndio umewadia ila story za maisha ya ndoa ninavyosikia nakata tamaa kabisa ya kuoa. Nimeona wengi wanatoka nje ya ndoa wake kwa waume, cha ajabu ni kwamba watu kibao wanakuwa wanafahamu kuhusu cheating inayoendelea kasoro mume au mke anaezungukwa.

Kuwa single bila familia nayo issue!. Maisha ya kudate kama bf and gf ni easy kila mtu anakwao ni easy na matamu lkn nayo yanamwisho.

Hebu tusaidiane hapo

Regards

huko uliko si kuna ndoa za mikataba? Fanya hivyo
 
Uhondo wa ngoma ingia ucheze ....
kila mmoja ana exprince ya maisha yake ya ndoa kwako inaweza kuwa ni paradise mpya
Usiogope amini mwenyezi mungu atakuwezesha

Kweli mwana ! Ngoma bila kuicheza utamu wake huwezi kuujua... Jamiiforums pazuri aisee maana unaweza kupata ushauri mzuri pia...Ingawa kunawengine ushauri wao du unatisha... "kama umeshindwa kuoa olewa" .

Nawashukuru kwa ushauri mzuri....Sasa ni saa ya kutafuta Mbongo na kuweka mambo sawa...
 
Hii wana JF

Umri wa kuoa ndio umewadia ila story za maisha ya ndoa ninavyosikia nakata tamaa kabisa ya kuoa. Nimeona wengi wanatoka nje ya ndoa wake kwa waume, cha ajabu ni kwamba watu kibao wanakuwa wanafahamu kuhusu cheating inayoendelea kasoro mume au mke anaezungukwa.

Kuwa single bila familia nayo issue!. Maisha ya kudate kama bf and gf ni easy kila mtu anakwao ni easy na matamu lkn nayo yanamwisho.

Hebu tusaidiane hapo

Regards

Try to be homosexual ............instead!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom