ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,379
- 118,805
Natamani na wengine wangekuwa na roho kama yako, mwambie ukweli.
Tukifanya hivyo mwatuona mabwege...
Natamani na wengine wangekuwa na roho kama yako, mwambie ukweli.
jamani mi naomba jina la super market pamoja na number zake ili wakati huu wa matokeo niendelee kumpa tuition na somo husika ni Biology na ninaahidi kumfundisha vizuri sana na hamtajutia uamuzi wenu!mkuu Lizzy umesomeka vyema, na nyongeza ndogo hapo juu ingekuwa vyema kama ungetafutwa utaratibu wa huyu mdogo wetu wa miaka 18 akaenda kusoma mbali kidogo na mji anaoishi sasa, lengo ikiwa ni kupunguza mawasiliano na hatimaye kufa kabisa (fimbo ya mbali haiui nyoka), lakini pamoja na hili msisitizo wa kusoma uwe juu zaidi manake ukimkwepa haraka sana anaweza poteza dira afu akanaswa na wale wasio waungwana..
Mwambie mama yake; kwa uungwana wako panda hata ndege kamweleze kama yuko mbali.Helo ndugu zangu wanajamii, najua tunaendelea na maisha vizuri.
Mimi ni mwanaume wa miaka 29 niliachana na mpenzi wangu mwaka jana so baada ya muda mrefu kuwa mpweke nilianzisha urafiki na dada mmoja aliyeniambia anafanya kazi kwenye supermarket moja hapa mjini. Baadae nilimtongoza na akakubaliana nami so nikaona vyema na pia yeye anadai hajawahi kulala na mwanaume.
Wiki iliyopita nimegundua kuwa amemaliza form four mwaka jana na ana miaka 18 vitu ambavyo sikujua hapo awali,kiukweli naona nimemzidi sana umri(miaka 11) na pia sihitaji kusubiria amalize mambo yake ya shule maana nafikiria kuoa mapema. Yeye anadai ananipenda sana yaani usiku akipiga simu akakuta inatumika basi analia sana na pia sitaki kumtoa hiyo bikira yake maana najiona sisitahili hiyo heshima bali mtu mwenye mapenzi ya dhati kwake.
Naombeni ushauri wenu jinsi ya kumwambia kwani sifikirii kuwa nae kwanza ni mdogo sana kiumri na pia siwezi kumsubiri amalize shule
Samahani kwa uandishi usio mzuri.
Helo ndugu zangu wanajamii,
najua tunaendelea na maisha vizuri.
Mimi ni mwanaume wa miaka 29 niliachana na mpenzi wangu mwaka jana so
baada ya muda mrefu kuwa mpweke nilianzisha urafiki na dada mmoja
aliyeniambia anafanya kazi kwenye supermarket moja hapa mjini. Baadae
nilimtongoza na akakubaliana nami so nikaona vyema na pia yeye anadai
hajawahi kulala na mwanaume.
Wiki iliyopita nimegundua kuwa amemaliza form four mwaka jana na ana
miaka 18 vitu ambavyo sikujua hapo awali,kiukweli naona nimemzidi sana
umri(miaka 11) na pia sihitaji kusubiria amalize mambo yake ya shule
maana nafikiria kuoa mapema. Yeye anadai ananipenda sana yaani usiku
akipiga simu akakuta inatumika basi analia sana na pia sitaki kumtoa
hiyo bikira yake maana najiona sisitahili hiyo heshima bali mtu mwenye
mapenzi ya dhati kwake.
Naombeni ushauri wenu jinsi ya kumwambia kwani sifikirii kuwa nae kwanza
ni mdogo sana kiumri na pia siwezi kumsubiri amalize shule
Samahani kwa uandishi usio mzuri.