Naogopa kuitwa M'MBEA

upelelezi unaendelea, bujibuji nahisi una ajenda ya siri kudadeki
 
Mpige picha then mtmie jamaa bila jamaa kujua katuma nani.
 

Mhhhhhhhhhhh! Kumbe wapo wanaume wanaoumia kwa kuona vya watu vinaliwa! Binafsi huwa hii tabia sina, nikiona huwa napotezea ila huwa najitahidi mhusika asinione isije jamaa yake akajua kwa njia zake mwenyewe akahisi mie ndo niliyotoa siri.
 
Buji, kama kweli huyo ni rafiki wa ukweli, tafuta line mpya mtumie meseji inayoeleweka, mda wanaokutana, jina sahihi la mahali wanapokutana nk. Hakikisha maelezo yako yanaeleweka vizuri, ukihakikisha msg imemfikia tupa hiyo line. Utakuwa umemsaidia mno. Kumbuka kutuma wakati ambao huyo mdada hana uwezekano wa kuwa karibu na simu ya mumewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…