Hivi shahidi anafungwa..?
Paloma, mimi ndiye niliyeenda kukunywesha ili nimalizie sida zangu mtaroni, maana mwenye nyumba kaweka kufuli mlangoni hadi nilipe kodi yake ya mwaka.
Nilikuwa nimejipanga vizuri kabisa, nikabakisha na hela ya gesti. Tatizo lako unakula kama kiwavi, chips kuku wewe, mishikaki wewe, chips mayai wewe, mchemsho wa samaki wewe, mbuzi choma wewe, makange wewe, yaani ukamaliza vyakula vyote jikoni, wakipita wauza karanga unataka.
Kwa mpango huo ningekupeleka gesti gani ya ile chenji buku jero?

sosoliso usijali, wee cheza mbali na kasheshehttp://www.eastafricantube.com/media/48157/GWM_-Cheza_Mbali_Na_Kasheshe_Snippet_30sec/Sitaki kuwa shahidi mie Bujibuji.. Maana cikawii kutajwa ati mie nilikuwapo na kushuhudia.. Akuu..
source?
Nazjaz usiwe unaua mazima kiasi hiki! Yaani haumfichii Buji siri hata kidogo? Inabidi Buji ajipange upya.Bujibuji sijawahi kusikia umeibua hata siku moja. Kila siku nakusikia ukilialia. mwaJ, cacico, Madame B na wengine wote wanakuogopa humu ndani. Tena nasikia huwa nalala mitaroni, umeenda kumlaza Paloma motto mitaroni, umemnywesha viroba, kazima, kwa kumpeleka huna, ukaenda kumnanilii mtaroni, sosoliso kawakuteni huko
Mimi ni rijali, nina mke na watoto kadhaa. Tatizo linalonikabili ni kuogopa kufanya mapenzi. Yaani wakati mwingine inabidi waifu awe kama ana nibaka. Mkonga unasimama freshi kabisa, lakini ile kuingiza ndio ninachokiogopa mwenzenu. Mademu kibao nje ya ndoa yangu wananitani, lakini nawakimbia. Naomba ushauri wenu.
Nimekutana na hii kitu mtanaoni, wala haina uhusiano wowote na bujibuji
Una uhakika ni wako?
Yani umenichekesha you cant be serious mpaka umepata hao watoto kuna jirani alikusaidia au vipi?
Bujibuji umenchekesha sana as if naona unavyobakwa na wife.
Jf kweli is another world
we utakuwa kubwa jingaMimi ni rijali, nina mke na watoto kadhaa. Tatizo linalonikabili ni kuogopa kufanya mapenzi. Yaani wakati mwingine inabidi waifu awe kama ana nibaka. Mkonga unasimama freshi kabisa, lakini ile kuingiza ndio ninachokiogopa mwenzenu. Mademu kibao nje ya ndoa yangu wananitani, lakini nawakimbia. Naomba ushauri wenu.
Nimekutana na hii kitu mtanaoni, wala haina uhusiano wowote na bujibuji