Wadau, nina mwaka mmoja tangu nijifunze kuendesha gari, but nina tatizo moja ambalo linanisumbua. Ni kwamba, ninaogopa sana ku drive kwenye highway na ninapokuwa ninapishana na magari huwa nalazimika kupunguza mwendo though speed ninayo tumia ni ndogo. Sijui hili ni tatizo gani? Naomba mnishauri nifanye kitu gani ili niweze ku overcome? Asanteni sana
mbona hivyo ni safi sana, maana mara nyingi wakati unapishana na gari kama lorry huwezi jua kama kuna basi kama Super Feo,Dar express ita overtake pembeni yake.hivyo wewe una kua on safe side kuingia porini kwa usalama wako
Wadau, nina mwaka mmoja tangu nijifunze kuendesha gari, but nina tatizo moja ambalo linanisumbua. Ni kwamba, ninaogopa sana ku drive kwenye highway na ninapokuwa ninapishana na magari huwa nalazimika kupunguza mwendo though speed ninayo tumia ni ndogo. Sijui hili ni tatizo gani? Naomba mnishauri nifanye kitu gani ili niweze ku overcome? Asanteni sana
Sijui udereva wa wapi huu wa kujiandaa kuingia porini.
Mimi ushauri wangu ni USIENDESHE GARI. Confidence ndio msingi wa uendeshaji salama. Kukumbwa na uoga ni dalili kwamba huna hakika na unachofanya kwamba ni sahihi au lah. Maamuzi ya mtu mwenye hofu barabarani ni janga.
Si kila mtu anaweza kuwa dereva kwa hivyo kuliko kujilazimisha kwa kuwa kuna watu wanakucheka, bora uache ili uwe salama na usihatarishe maisha ya watu wengine pia.

Kumbe kwenu Songea eeh, asante kwa taarifa. Summry vipi, imekufa?
Umejifunzia wapi kuendesha gari?Wadau, nina mwaka mmoja tangu nijifunze kuendesha gari, but nina tatizo moja ambalo linanisumbua. Ni kwamba, ninaogopa sana ku drive kwenye highway na ninapokuwa ninapishana na magari huwa nalazimika kupunguza mwendo though speed ninayo tumia ni ndogo. Sijui hili ni tatizo gani? Naomba mnishauri nifanye kitu gani ili niweze ku overcome? Asanteni sana