LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 14,937
- 26,647
Wadau, nina mwaka mmoja tangu nijifunze kuendesha gari, but nina tatizo moja ambalo linanisumbua. Ni kwamba, ninaogopa sana ku drive kwenye highway na ninapokuwa ninapishana na magari huwa nalazimika kupunguza mwendo though speed ninayo tumia ni ndogo. Sijui hili ni tatizo gani? Naomba mnishauri nifanye kitu gani ili niweze ku overcome? Asanteni sana