JAYJAY JF-Expert Member Joined Oct 31, 2008 Posts 8,795 Reaction score 9,153 Jul 9, 2016 #81 Victoire said: wala usiogope,maana ukifa wala hutajua chochote kinachoondelea juu yaki;Ni kama vile unavyozaliwa kwa siku ya kwanza huelewi lolote linaloendelea,na kufa ni hivyo hivyo sema ukifa ogani zote mwilini zako zinakoma kufanya kazi Click to expand... Tatizo ni kuwa hayo yanasemwa na watu ambao hawajawahi kufa.
Victoire said: wala usiogope,maana ukifa wala hutajua chochote kinachoondelea juu yaki;Ni kama vile unavyozaliwa kwa siku ya kwanza huelewi lolote linaloendelea,na kufa ni hivyo hivyo sema ukifa ogani zote mwilini zako zinakoma kufanya kazi Click to expand... Tatizo ni kuwa hayo yanasemwa na watu ambao hawajawahi kufa.
M muongozaji JF-Expert Member Joined Oct 9, 2009 Posts 1,386 Reaction score 1,002 Jul 9, 2016 #82 Eti unasema umesusa na kula msosi kabisa!? Something is wrong!! Nashauri uende hospitali haraka kabla hujajinyonga na kukiwahi hicho kifo chenyewe
Eti unasema umesusa na kula msosi kabisa!? Something is wrong!! Nashauri uende hospitali haraka kabla hujajinyonga na kukiwahi hicho kifo chenyewe
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,731 Jul 9, 2016 #83 Vp mwenzetu. 'Umekanyaga miwaya' nin?