Naogopa jibu nitakalopewa

Chiriku mvumilivu hula mbivu ila ukishangaa utakula.vilivooza
 
Last edited by a moderator:
kuna demu nilimtongoza akaniambia nisubiri nikamwambia siwezi kusubiri nijibu hapa hapa ili nikiondoka niifute namba yako au la.........
huko mbele siri yangu

Bahari yote hii asiponasa jodari.......atanasa chengu........inahusu.......
 
Pole dada. Mara nyingi bwana akisema subiri halaf akakaa zaidi ya wiki 2 had 4 ujue hakupendi na hataki kukuhit and run na anakuonea huruma kukwambia no (kibut), ndio maana anakupotezea na wewe wala usimkumbushie bali anza kuchapa lapa taratibu..
 
hongera kwa uamuzi huo na pia usichoke kukumbushia jibu
 
Duuh huyo nae anafanya maigizo
Jibu analo sana .

Ama mlifanya na interview ?
 
maombi yapo mengi, kwahiyo subiria atakuita kwenye interview ya kwa bed, halafu ukifaulu basi umepita.
 

Chachchaaaaaaaaa..............lahaula! Umeshaharibu sasa!!!!!
Mamaaaaaaaaaaa.......daaaa sijui nikusaidieje jamani mtoto wa watu!

Daaaaaaa.........fanya hv inshallah!

Ni inbox nikupe mbinu!
 
ulikosea wenzako hawasemagi live...bali matendo huongea zaidi ya maneno......
Tatizo yeye ni Chiriku, na Chiriku huwa anasema na kufanya yote anayoyasikia na kujifunza hata kupitia hapa JF!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…