Naoa baada ya mwezi mlioko kwenye ndoa nasaha zenu please

Si nasikia Wapare hawajui kukataa na wahaya ni wafaransa wanangonoka hadi na kaka zao? mbona hizi sifa unazificha? haya niambie na sifa za Wakwere.

me sijasema hayo,hata me huwa nasikiaga hivyo,hahaa!!wakwere,mhh cheki na JK
 
BADILI TABIA i salute you madame, nami nikimpata wangu wa ukweli ntakutafuta uwe kungwi wangu lolest. . .
 
Last edited by a moderator:
Njoo uanze kusali kanisani kwetu..

Nakuhakikishia ndoa yako itakua ya heri maisha...
 
...Ushauri mzuri sana huu BadiliTabia...kila la heri Mkuu ndoa si lelemama kuna matamu na machungu lakini hata siku moja usiyakimbie machungu kwa kukata mawasiliano na mkeo kumnyima haki yake kama mke, kutomsikiliza na kumjali na pia kuwasikiliza sana wa upande wako kama ni akina dada, kaka, wadogo zako, wazazi n.k. ukiweza kuyafanya hayo basi utayafurahia maisha na mwenzio kwa kiwango cha juu. Kila la heri katika ndoa yenu.

ndoa hazifanani ndugu yangu....

Kikubwa muwe wawazi kati yenu....

Muheshimiane, kila mmoja akubali kujishusha (usidanganywe mwanaume haombi msamaba mwanaume hivi mwanaume vile)

asante, pole, samahani, nakupenda yatawale ndani mwenu...

Mthaminiane na kila mmoja amjali mwenzie, usimtendee mwenzio vile ambavyo hupendi kutendewa......

Kumbuka ndoa ni ya wawili, matatizo yenu muyakabili wawili sio mtangetange huku na kule kupeleka mambo yenu.... Ya ndani mwenu yaishie ndani mwenu..... Hata kama mkikwaruzana mkitoka nje mtu asijue chekeeaneni tabasamianeni...
Mkiamua mipango yenu wasije ndugu jamaa wakaipangua......

Chunga ndugu, wana nafasi yao ila wasiingilie ndoa yenu, muwaheshimu na wanapokuja kwenu wafuate sheria zenu...

Pangeni mipango yenu pamoja, amueni pamoja.....shikaneni nyie wawili....

Mwisho epuka virukanjia..... Siku hizi wanaume wakioa virukanjia ndo wanawapenda wanadai wanajua kuhonga na hawawabani, halahala msijeleteana maradhi
 
Thanks mkuu nimekusoma
 
Last edited by a moderator:
Hongera mkuu kwa maamuzi magumu. Uvumilivu, kuwa tayari kwa lolote. Jitahidi kutimiza majukumu yako kwenye ndoa. Tatizo linapotokea mlitatatue nyie wawili. Kuwa tayari kusamehe inategemea na kosa sio kucheatiwa. Mpende mkeo. Muombe mungu awape ndoa ya amani na furaha. Kila la kheri
 
ndoa hazifanani ndugu yangu....

Kikubwa muwe wawazi kati yenu....

Muheshimiane, kila mmoja akubali kujishusha (usidanganywe mwanaume haombi msamaba mwanaume hivi mwanaume vile)

asante, pole, samahani, nakupenda yatawale ndani mwenu...

Mthaminiane na kila mmoja amjali mwenzie, usimtendee mwenzio vile ambavyo hupendi kutendewa......

Kumbuka ndoa ni ya wawili, matatizo yenu muyakabili wawili sio mtangetange huku na kule kupeleka mambo yenu.... Ya ndani mwenu yaishie ndani mwenu..... Hata kama mkikwaruzana mkitoka nje mtu asijue chekeeaneni tabasamianeni...
Mkiamua mipango yenu wasije ndugu jamaa wakaipangua......

Chunga ndugu, wana nafasi yao ila wasiingilie ndoa yenu, muwaheshimu na wanapokuja kwenu wafuate sheria zenu...

Pangeni mipango yenu pamoja, amueni pamoja.....shikaneni nyie wawili....

Mwisho epuka virukanjia..... Siku hizi wanaume wakioa virukanjia ndo wanawapenda wanadai wanajua kuhonga na hawawabani, halahala msijeleteana maradhi
Ahsante saana dada...mie nina moja tu,kuweni wawazi kwenye masuala ya kiuchumi....utaepusha meengi na mtajikuta mmefanya vitu vya msingi ndani ya mda mfupi....hili nimelishuhudia mwenyewe in my own marriage,within two years of my marriage. ..we had alot...achilia mbali hayo magari na mengine..tuko kwny nyumba yetu...openess ilinisaidia sana!!!kila la kheri.....
 
ndoa hazifanani ndugu yangu....

Kikubwa muwe wawazi kati yenu....

Muheshimiane, kila mmoja akubali kujishusha (usidanganywe mwanaume haombi msamaba mwanaume hivi mwanaume vile)

asante, pole, samahani, nakupenda yatawale ndani mwenu...

Mthaminiane na kila mmoja amjali mwenzie, usimtendee mwenzio vile ambavyo hupendi kutendewa......

Kumbuka ndoa ni ya wawili, matatizo yenu muyakabili wawili sio mtangetange huku na kule kupeleka mambo yenu.... Ya ndani mwenu yaishie ndani mwenu..... Hata kama mkikwaruzana mkitoka nje mtu asijue chekeeaneni tabasamianeni...
Mkiamua mipango yenu wasije ndugu jamaa wakaipangua......

Chunga ndugu, wana nafasi yao ila wasiingilie ndoa yenu, muwaheshimu na wanapokuja kwenu wafuate sheria zenu...

Pangeni mipango yenu pamoja, amueni pamoja.....shikaneni nyie wawili....

Mwisho epuka virukanjia..... Siku hizi wanaume wakioa virukanjia ndo wanawapenda wanadai wanajua kuhonga na hawawabani, halahala msijeleteana maradhi

kiongozi umeongea mambo makuu na msingi sana
 
Back
Top Bottom