T tinamuro Member May 18, 2011 10 0 Sep 2, 2011 #1 habari wana jf, eti vipi post za NAO mbona kimya sanaaaaa?
pomo JF-Expert Member Jun 26, 2011 267 31 Sep 2, 2011 #4 dah kama na CAG nae anachunguzwa ishu ya Jairo, huo mchakato c unaweza kusogezwa mbele? uvumilivu wa hali ya juu unahitajika wakuu
dah kama na CAG nae anachunguzwa ishu ya Jairo, huo mchakato c unaweza kusogezwa mbele? uvumilivu wa hali ya juu unahitajika wakuu
Jituoriginal JF-Expert Member Feb 8, 2010 350 31 Sep 2, 2011 #5 Daily news ya Tar 2nd sept,wameita watu 300.
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,056 10,700 Sep 2, 2011 #6 Jituoriginal said: Daily news ya Tar 2nd sept,wameita watu 300. Click to expand... Poa mkuu.
C chante JF-Expert Member Mar 11, 2011 511 675 Sep 2, 2011 #8 ngoja nikatafute ilo gazeti..coz website ya NAO bilabila...
A Agrodealer Senior Member Mar 19, 2011 107 11 Sep 2, 2011 #9 Mweeee! Nini kuita wametoa majina ya interview ya mwanzo watu wanalia kiama. Hata kama umechaguliwa leo bado kuna wakati mgumu sana mana katika 300 wanatakiwa watu 100. Mihwe upo hapo mama sipati picha zakwetu ztoke 100.
Mweeee! Nini kuita wametoa majina ya interview ya mwanzo watu wanalia kiama. Hata kama umechaguliwa leo bado kuna wakati mgumu sana mana katika 300 wanatakiwa watu 100. Mihwe upo hapo mama sipati picha zakwetu ztoke 100.
L Lutu2 Member Mar 11, 2010 37 16 Sep 3, 2011 #10 Tafuta magazeti ya jana ya uhuru na daily news yameshort-list watu 300 kwa ajili ya intavyuu
ldd JF-Expert Member Jun 26, 2011 790 128 Sep 3, 2011 #11 mbona na ela yakujikimu tushakula kitambo!!!
S sirmudy JF-Expert Member May 12, 2010 386 119 Sep 4, 2011 #12 ldd said: mbona na ela yakujikimu tushakula kitambo!!! Click to expand... Hongereni.....na kila la kheri...!
ldd said: mbona na ela yakujikimu tushakula kitambo!!! Click to expand... Hongereni.....na kila la kheri...!
M Mwana Mnyonge JF-Expert Member Mar 3, 2011 518 448 Sep 5, 2011 #13 wakuu naomba mnisaidie nipo chaka nimekosa majina mwenye nayo atuwekee kaka coz kwenye web yao hakuna majina msaada jamani
wakuu naomba mnisaidie nipo chaka nimekosa majina mwenye nayo atuwekee kaka coz kwenye web yao hakuna majina msaada jamani
luckyperc JF-Expert Member Jan 17, 2011 495 46 Sep 5, 2011 #14 mkuu fanya mpango wa kudownload haya hapa sasa. Attachments TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI.pdf 437.7 KB · Views: 311
M Mwana Mnyonge JF-Expert Member Mar 3, 2011 518 448 Sep 5, 2011 #15 luckyperc said: mkuu fanya mpango wa kudownload haya hapa sasa. Click to expand... thanx mkuu
Coza Mhando Senior Member Dec 14, 2010 194 7 Sep 5, 2011 #16 Jituoriginal said: Daily news ya Tar 2nd sept,wameita watu 300. Click to expand... <br /> <br /> taarifa mkuu, NAO wameita 440,
Jituoriginal said: Daily news ya Tar 2nd sept,wameita watu 300. Click to expand... <br /> <br /> taarifa mkuu, NAO wameita 440,
M mihiwe Member May 28, 2011 23 4 Sep 13, 2011 #17 Nini shost! Hakuna cha mia wala kumi,mi naona wananitatiza tu.Zile za chuo hadi leo kimyaaaa kama kafa panya.
Nini shost! Hakuna cha mia wala kumi,mi naona wananitatiza tu.Zile za chuo hadi leo kimyaaaa kama kafa panya.