Nanyimwa

Njoo nikumilikishe wakwangu utakuwa unukula peke yako yaani ukisikia njaa tu unaingia bandani
 
Labda amechoka kula kuku kila siku anataka mle bata mchafu .
 
Mwenzangu ndo mmiliki ananinyima kuku mtamu nimfanyaje? Hatutendeane haki jamani

Hapa ni kama unatambua kuku si wako vile?


Kha! kumbe kuku wa jirani ndio anakuliza mie nilifikiri wa kwako, tafuta mwingine mzuri zaidi ya huyo umfuge mwenyewe utaona kama kuku wajirani hatokuonea wivu nae atakuwa analia kama ww

BornTown anakushangaa kidogo na kukupa ushauri nini cha kufanya.


Kama ni wako sioni kwa nini utumie manati..........lol mambo ya chumbani inafikia kuwa kichekesho.

Hana ushauri tofauti na BT

Jamani namaanisha mmiliki ni mpenzi/lazizi wangu kwa nini aninyime?

Hapa ni kama unacreate deviation unnecessarily!

Kumbe mwenzako ndiyo mmiliki basi vumia utazoea kunyimwa kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeh.

Losambo kama anacheka lakini hajui machungu ya kunyimwa kuku uliyempenda!!

Meno ya kutafuna kuku huna
iweje ulilie?

Sijui huyu kama huna visa nae, ulishawahi kumchongea kwa PAW nini?
 
hujui kula ww...
kaona unachezeaga tu msosi...nakuchafua VYOMBO tu.
 
Angenipa kuku mtamu aone nitakavyo lamba mpaka vyombo

ungeonesha huo ujuzi from day one...
kama ulivurunda mwenzio ndo kajua huo ndo ulaji wako...
kaanga mbuyu wenye meno watafne zao...LOL
 
mmmm wa kizungu anakutosha wa kienyeji sio mzuri kwa mtu na heshima zake:shock:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom