Nanyimwa penzi na mke wangu

Nanyimwa penzi na mke wangu

Teh teh yani kuna watu wanaoa ila wanaakili kamma wavulana. Hata hilo unashindwa kuamua. Kuna uhusiano gani kati ya tendo la ndoa na smart phone? Mkeo kakujua una akil ndogo ndio maana anadirik kukuchezea akili.

Alafu fanya haraka uhalalishe mkuu achakutenda dhambi

Act like a real man....huwez nyimwa penz kwa sabab ya smart fone...labda humridhishi...au kuna mchepuko...
 
Nitatofautiana kidogo na wachangiaje wengine. Mkeo hawezi kukunyima asali kwa sababu hujamnunulia smartphone la hash! wala usidhani anatoka nje ya ndoa. Ni hivi; mkeo ana tatizo la fungasi kwenye mji wake wa uke, hivyo akifanya mapenzi anapata maumivu makali sana kiasi kwamba anaumia, baada ya muda wa sindano kuisha kaamua atumie njia hiyo kukueleza kivitendo kwamba sichomi sindano nyingine hadi uninunulie simu smartphonr akijua kwamba hautofanya nae mapenzi wakati hajachoma sindano. Zungumza na mkeo ujue tatizo zaidi ni nini. Pia mnunulie simu hiyo ya smartphone anayohitaji au unataka anunuliwe na mwanaume mwingine?
 
daaah ni shida are you under 20?...ok kama vipi mtafutie mwenzie akigundua atakupa tu
 
Mpe ya kwako, sasa ww umekaa na mtoto wa watu hadi amekuzalia na mtoto alafu hata smartphone humnunulii?
Nyie ndio mnafaa kudinyiwa wake zenu kabisa!
Tena nadhani hujafunga nae ndoa kwa sababu ya ubahili wako!
 
We mwaume kwel??smartphone hadi laki unapata ...unashindwa kukomaa??
 
Umeoaje bila kufunga ndoa???? Sema mmesogezana.....



nimeoa, japo sijafunga ndoa ila nliezaa nae tunaisho wote kwa sasa. Ila gafla tu baada ya muda wa sindano ya mpango wa uzazi kuisha, alitakiwa kwenda kuchoma ingine, ila alikataa kwenda na kuninyima haki yangu kwa madai kuwa mpaka nimnunulie smartphone....sasa umepita mwezi tangu anifanyie hivyo....naombeni ushauri wakuu. Na anajua kwa sasa sina uwezo wa kumnunulia hiyo simu

Mnunulie tu....usipomnunulia wewe unataka nani amnunulie???
 
Nimeoa, japo sijafunga ndoa ila niliezaa nae tunaishi wote kwa sasa. Ila gafla tu baada ya muda wa sindano ya mpango wa uzazi kuisha, alitakiwa kwenda kuchoma ingine, ila alikataa kwenda na kuninyima haki yangu kwa madai kuwa mpaka nimnunulie smartphone sasa umepita mwezi tangu anifanyie hivyo.

Naombeni ushauri wakuu. Na anajua kwa sasa sina uwezo wa kumnunulia hiyo simu

Wakati unamtongoza na hadi kuamua kuishi nae hivyo ULITUSHIRIKISHA?
 
Aaaaaaaaaa kwanini unamfahamufahamu mwenzako bila kufunga ndoa ?? Yesu ruwa sasa visim viko mpaka vya 190,000 ? mchukulie mbili kabisa
 
Back
Top Bottom