Nanyi mtakuwa kitu kimoja kwa kila jambo..

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
SALMA.jpg View attachment 29811


 
Hivi, inamaana familia nzima mambumbumbu? au hizi picha zinachakachuliwa? sitaki kuamini kama ha yote yanatokea. Lakini duh! kazi ipo!
 
Hizi ni picha zilizotengenezwa wakuu mimi siamini kama woote wawili wapo hivyo! Kama ni kweli basi hatari sana bora nchi ikabidhiwe kwa jeshi sasa nani anamwoongoza mwenzake hapo!??
 
Hiyo ya mama ni kama amejilipa (as a Drawer and Payee) kudadadeki!!.
 
Back
Top Bottom