Nanyi mtakuwa kitu kimoja kwa kila jambo..

Nanyi mtakuwa kitu kimoja kwa kila jambo..

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
SALMA.jpgView attachment 29811


 
Hivi, inamaana familia nzima mambumbumbu? au hizi picha zinachakachuliwa? sitaki kuamini kama ha yote yanatokea. Lakini duh! kazi ipo!
 
Mimi naona kama walikua wanaigiza igizo fulani!:biggrin1:
 
Hizi ni picha zilizotengenezwa wakuu mimi siamini kama woote wawili wapo hivyo! Kama ni kweli basi hatari sana bora nchi ikabidhiwe kwa jeshi sasa nani anamwoongoza mwenzake hapo!??
 
Hiyo ya mama ni kama amejilipa (as a Drawer and Payee) kudadadeki!!.
 
mkuu hii imeshajadiliwa jamvini just recently
 
Hivi mama alikuwa ni mwalimu wa Kiswahili au Hisabati..?
 
Back
Top Bottom