Nanunua NTA yenye ubora.

FAJES

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2017
Posts
723
Reaction score
658
Wadau heshima kwenu.

Kwa mfugaji wa nyuki au mfanyabiashara wa asali na NTA, nahitaji NTA yenye ubora kutoka shambani kwako.

Uwe tayari kutuma sample angalau kg 2 ili kuangalia ubora wa NTA yako kabla ya manunuzi.

Bei ni maelewano.

Mawasiliano: 0620 53 80 81

Email: fajestz@gmail.com
 
Mi nina gundi asili sina NTA
 
Nta inatumika kufanyia nn?
 
Nta inatumika kufanyia nn?
Wakatoliki wanaitumia kwenye ile mishumaa inayowaka Kanisani.

Kiujumla inatumika kutengeneza bidhaa zifuatazo;
i)Mishumaa
ii) Polishi ya samani
iii)Vipodozi
iv)Nyuzi za Kufanyia operesheni (absorbable stitches)
N.k n.k n.k
 
Wakatoliki wanaitumia kwenye ile mishumaa inayowaka Kanisani.

Kiujumla inatumika kutengeneza bidhaa zifuatazo;
i)Mishumaa
ii) Polishi ya samani
iii)Vipodozi
iv)Nyuzi za Kufanyia operesheni (absorbable stitches)
N.k n.k n.k
Ok..asante

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Nahitaji NTA, mwenye connection ya upatikani wake naomba ushirikiano.
 
Endapo hutoridhika na sample ntakayokutumia, hizo 2kg utanirudishia mwenyewe ama ndio imetoka hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…