iCode
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 770
- 459
Umofia kwenu wanajamvi.
Ninatafuta kampuni inayouzwa na inayojihusisha na maswala ya usafiri wa Anga (Abiria na Mizigo). Sharti iwe na usajili na iwe na umri wa at least miaka mitano (5). Kampuni hiyo iwe au isiwe na vyombo hivyo vya usafiri sio hoja kubwa, ni kuwa na leseni (5 years on market) Ofisi zikiwa Arusha, Mwanza au Dar will be an added advantage.
Mwenye kufahamu kuhusu hili, Karibu Inbox.