Nanunua Facebook Groups kuanzia 400k members

Nanunua Facebook Groups kuanzia 400k members

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,392
Wapendwa Nanunua Facebook Groups kuanzia 400k members na kuendelea Je wewe ni admin wa group la facebook na halikuuingizii faida yoyote? basi katika kipindi hiki cha mdororo wa uchumi naomba uniuzie jumla jumla.

Tukikubaliana,tutalipana mkono kwa mkono kisha unanifanya admin mimi nakulipa fedha yako.

Note:Hii siyo kwamba nataka kujoin groups zisizo zako...nataka kununua mazima mazima.
 
Wapendwa Nanunua Facebook Groups kuanzia 400k members na kuendelea
Je wewe ni admin wa group la facebook na halikuuingizii faida yoyote? basi katika kipindi hiki cha mdororo wa uchumi naomba uniuzie jumla jumla.

Tukikubaliana,tutalipana mkono kwa mkono kisha unanifanya admin mimi nakulipa fedha yako.

Note:Hii siyo kwamba nataka kujoin groups zisizo zako...nataka kununua mazima mazima.
Taja offer yako nionr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiitaji grup la Watsap nishtue mkuu nna membaz full wote yaan adi uwez kuadd mwingne inakubid umremove mmoja ndo umtie mwingne
Karibu sn nasubiria Ofa yako
 
Back
Top Bottom