JE unalo Group la facebook kuanzia 400k uniuzie?.

JE unalo Group la facebook kuanzia 400k uniuzie?.

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,393
Wapendwa Nanunua Facebook Groups kuanzia 400k members na kuendelea
Je wewe ni admin wa group la facebook na halikuuingizii faida yoyote? basi katika kipindi hiki cha mdororo wa uchumi naomba uniuzie jumla jumla.

Tukikubaliana,tutalipana mkono kwa mkono kisha unanifanya admin mimi nakulipa fedha yako.

Note:Hii siyo kwamba nataka kujoin groups zisizo zako...nataka kununua mazima mazima.
 
Group ipo unatoa shilingi ngapi mkuu?
 
Magroup yanayoongoza kwa kuwa na watu, KISIMA CHA JANGWANI la Dotto Rangimoto na TANURU LA FIKRA admin simjui. Hayo yote ya members milioni kasoro 300K
 
Kuna grupu linaitwa Utamu Mtupu, nadhani litakufaa... Admin simjui.
 
Back
Top Bottom