Nanunua CPU used kwa bei chee

Nanunua CPU used kwa bei chee

daudibashiite

Member
Joined
Apr 14, 2017
Posts
68
Reaction score
22
Kichwa cha habar kinajieleza nahitaji CPU(used) ya bei chee hata ikiwa na specification ndogo sio mbaya kama unayo unauza nicheki 0625978435
 
toa hiyo avatar upate mzigo....

vinginevyo kafie mbele
 
Kichwa cha habar kinajieleza nahitaji CPU(used) ya bei chee hata ikiwa na specification ndogo sio mbaya kama unayo unauza nicheki 0625978435
Dell, RAM 4 GB, HD Terabyte 1 pamoja na monitor yake yenye inch 22.

Bei 420k/-
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom