Nanjilinji kwa akina Achumani

Nanjilinji kwa akina Achumani

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,597
Reaction score
1,868
chamak.jpg
hii menyu inapatika pale Nanjilinji kwa achuman kwa 4500/= tuu..
 
Kitu cha duka hiki,mcheck huyo yondo si halisi
 
ina maana chamaki nchanga hachunwi ngozi au itapoteza ladha
 
hao ni panya wa kwenye miti sio wale wa nyumbani ni ntamu huyo. Fika pale Nanjilinji, Mbwemkuru Kiranjeranje, hoteli tatu mpaka Kiwawa huko utamkuta wewe ulizia mgonjwa tu utapewa
 
Jamani umenikumbucha kipindi nko kwa njomba chipoku, we chamaki nchanga kunoga kupita pungo..., ukila na nchele wacha tu.....
 
Back
Top Bottom