Nani zaidi?

Nani zaidi?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Amber-vs-Kim.jpg
 
zaidi kitu gani ??
hela ?
nywele ?
mpododo ?
mabwana ??
 
Ama kweli starehe ni gharama na roho inauma hasa lakini ni kuvumilea na kustahamili ya dunia
 
Pinda nahisi ndo kachukua nyingi za ESCROW
 
We jamaa sijawahi kukuelewa ktk maoni yako,

Mkuu samahani mi sijawahi kupitia shule ndo maana huwa na bobota ili nami nijui kusoma na kuandika na uwezo wa madarasa wazazi wangu ni mdogo na kama nimekudhi basi tusamihiani na usipati shida ya kumsoma makubzi ni kupita na hiyo maandiko yangu ni huwa najifurahisha mi tu na kujipema uwezo wangu na hapa nilipo jaliwa kufika mkuu pole sana kwa tatizo langu
 
Duh!!!? Kama uyasemayo ni kweli basi tutafika tu hivyo hivyo.
 
hebu fanya kuweka na za nyuma tuone mikia yao...
 
Duh!!!? Kama uyasemayo ni kweli basi tutafika tu hivyo hivyo.

Mkuu nashukuru sana kwa kunieliwa tatizo langu la ilemu na ntajitahidi kupunguaza topic zangu ili nisiwakeri na wengeni asanti sana na tumuwombe mungu atujali maisha mazuri
 
Back
Top Bottom