1. King (Mzee wa dogodogo)
2. Wa kushoto kwake (Joti)
3. Mlevi wa mataputapu (Masele)
4. Mwanawane (Mhubiri)
5. Mgonjwa wa kiharusi aliekodoa macho kaa mjusi aliebanwa na mlango
Kingwendu. Ulishawahi kumuona kwenye tangazo la SIMTANK inayodondoka maporomoko ya Victoria? Huwa nakaribbia kuzimia.Sema tu vile hana kikundi chenye jina, ila huyo jamaa ni balaa!