Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,706
Thread inauliza nani zaidi.......mie siangalii nyimbo zao maana zoote zafanana ujumbe ule ule mahadhi yale yale.....midundo ile ile....so uzaidi mwingine ndio huo.....bahati anavutia hasa kuliko rose.....Beautiful in what sense? tena umeweka na msisitizo wa swanglish kabisa!..
Wote wa vipaji vya kuimba na kuhubiri neno la Mungu kwa nyimbo zao ila ukipenda zaidi burudani ya kucheza wimbo, Rose Mhando kama albamu yake moja ya kitimtim basi zinachezeka vizuri sana.