Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,054
Rose Mhando ni mtumiaji mzuri wa Msuba...jani
you could be right,cause the way anavyoimba na kucheza there could be grounds for this assumption
Rose Mhando ni mtumiaji mzuri wa Msuba...jani
Heshima yako mkuu,
- Nimesema siku nyingi sana kwamba katika maisha unapokuwa hujui, then huna choice zaidi ya kuwasikiliza wanaojua, wakuelemishe. Ni clear kwamba kwenye maisha tunazaliwa tofauti, wengine tulizaliwa very active na kupitia mambo mengi sana kwa wakati unaotakiwa, na besides hata system yetu ya kiutawala ilikuwa ina-encourage mambo mengi ambayo siku hizi hakuna tena.
- Tumecheza mpira, kuanzia ya shule za msingi, sekondari, vyuoni, na JKT, kwenye haya mashindano ambayo siku hizi hayapo tena, tumekutana na watu mbali mbali na wa kila aina, ambao wengi wao siku hizi ndio viongozi wetu wa taifa, wamiliki wa biashara kuu nchini, maarufu wa shughuli mbali mbali katika taifa, na wengine ni watu wa kawaida, halafu growing up location that is another story of itself. Kuna wakati mmoja mpira wa miguuu ulikuwa ndio deal, wakati mwingine u-DJ ukawa deal, ikaja ubaharia ndio deal, ndio maana tukapata nafasi ya kujaribu kila kitu katika maisha, sasa I can see the problem kwamba wengiwetu siku hizi hatukupata hizi nafasi, kwa hiyo wale tuliopitia tunapotoa our experience tutaendelea kuwa alliens na kwamba tunajua kila kitu. Tatizo sio kuwa jirani na nani, hapana the ishu ni kama unaweza kuoanisha ujirani na ukweli wa hoja unayo-represent.
- Nilipokuwa NYC, nimepiga sana Disco kwenye club as a DJ as part time, huku ninafanya kazi, na kwenda College pia at the sametime, nimetayarisha sana maonyesho ya miziki NYC na hata hapa nilipo mpaka leo ninaendelea once in a while kufanya hizo shughuli za maonyesho, infact sasa hivi ninafanya research ya kuwawezesha FM Academia Wazee wa Mujini, kwenda US baada ya kumaliza ziara yao ya UK, kwa hiyo mkuu wangu rest assured kwamba hudanganywi tunaposema experience, ila ni ukweli mtupu na cha muhimu ni hoja kama inakubaliana na the claimed experience.
- Tunapoingia hapa kujadili mada, huwa tunaingia with confidence and in a serious manner ama sivyo hatugusi kabisa mada kama hatuna anything on it, tunakaa pembeni na kula elimu ya bure kutoka kwa wengine, otherwise samahani sana kwa kukukwaza kutokana na experience mbali mbali tunazoziweka hapa maana mpaka kumuita bin-adam mwenzio nuksi kwa sababu tu mawazo yake hayakubaliani na yako, that is deep, ningekuelewa ungesema jamaaa ni muongo na ushaidi ni huu sawa, lakini ni nuksi na anajua kila kitu ina maana nimekukwaza, kwa hiyo samahani sana mkuu, nilikuwa najaribu tu kuchangia mada kulingana na experience yangu na Muziki, infact betweeen the two yaani Rose na Bahati, I would rather invest on Rose maana italipa no matter what!
Unless kama hukutaka nishiriki kwenye this Mada, ninakuelewa pia, samahani kwa lecture ndefu lakini muhimu sometimes, na tutaendelea kuweka experience zetu inapobidi na pia kuelimika kutoka kwa wengine kama wewe na experience zenu.
Respect.
FMES
- yaani Rose anayechukua zawadi za Tanzania Breweries, anaweza kuwa spiritual kuliko mimi ninayejaribu kuwapima kutokana na talents zao?
FMES.
Hapo umenena mkuu! so kiroho huyu zero?? ati?
Talents?? I agree with you, if you meant that,
Lakini sio kuwa unashindanisha talents tofauti, kile unachokipenda kutokana na utashi wako, na moyo wako, maana nyimbo zao ni tofauti kabisa Bahati(slow) Rose(fast) how can you cook them in one pot??
Invisible unaweza kutuwekea price list ya matangazo hapa mkuu?..
Ofcourse huyu bibie naye si haba, kuna nyimbo zake kama Unikumbuke, tunakuabudu etc we acha tu.......ukizisikiliza unajihisi uko mitaa ya kwa Sir God vile.....yupo juu as well kwenye nyimbo za kuabudu!
Hawa wawil kila mmoja anastyle yake ya kutumbuiza etc kama unapenda utulivu, kuabudu, kutafakari, faraja, etc Bukuku ndio mahala pake...hiyo ndio kazi yake kwa kweli..huyu mama Mungu ambariki sana! Sikiliza au angalia video kama Yehova, Waraka, Ukiinuliwa etc....yaani ka binti kangu ka miaka miwili nikikawekea DVD ya waraka, bac mamake atafanye shughulizake mpake amalize...kenyewe kapo tu na hiyo!
Ukija kwa Rose....naye kama unataka kujirusha fulani na Yesu....huyu mama ni mahala pake kweli kweli...angalia video kama Nibebe, jipange sawasawa, amina, si salama, mbella etc..... ndo maana nyimbo zake nyingi zinapigwa kwenye maharusi, vipaimara, ubatizo etc!
So ukitaka nipige kura, inabidi hawa kinamama wawekwe kny category tofauti na kila mmoja anafanya vizuri kwenye category yake!
you could be right,cause the way anavyoimba na kucheza there could be grounds for this assumption
Rose Mhando anakipaji sana cha kuimba ila hatoi picha nzuri kwa jamiianapiga jani na anapepo la ngono!.Bahati Bukuku naye ni mwimbaji mzuri wa Gospel ila kama kila mtu alivyo na mapungufu yake, yuko kwenye ART
- Ninafahamu njia moja tu ya kupima talents za wanamuziki, nayo ni mapato wanayoingiza kutokana na muziki wao wanaopiga, na ndio maana nikasema hivi huwezi kuwaona hawa wakipiga bure nyimbo zao za dini kuwaona ni lazima ulipe sasa je wakilipwa wanaingiza ngapi kwangu ndio kitu cha msingi hapo, au? Maana Yesu wanayemuimba all the time hakumlipisha mtu kumuona, au kupata ujumbe wake, au?
FMES
Invisible unaweza kutuwekea price list ya matangazo hapa mkuu?..
LOL, sina la zaidi inabidi nicheke , to be honest that is reality in arts!
ebu jamani sikilizeni ule wimbo wa ESTER.utagundua huyu dada 'ni special'
Umenikumbusha nyimbo nyingine za Bahati Bukuku,SONGA MBELE na MAJARIBU yaani nazikubali sana hizi nyimbo,huyu dada ana kipaji na pia ana kipawa amepewa na Mungu
KIPAJI - mtu anazaliwa nacho
KIPAWA- MTU HUPEWA NA MUNGU,sasa unapochanganya hivyo vyote + maombi lazima utatoa nyimbo ambazo zinakua na message nzuri sana.
Mimi kwa kweli ninakunwa na Rose Muhando. Kwanza, Rose Muhando anatunga na anatoa kitu kipya kabisa wakati Bahati Bukuku sijaona kipya kwake. Nyimbo zake zinaweza kutungwa na mtu yeyote yule. Pili nyimbo za Rose Muhando ni authoritative na zinagusa sana jamii. Nyimbo za Rose Muhando unaona kuwa hapa alifikiri na kama aliongozwa na roho ya Mungu kutunga na kupangilia. Hata hivyo, naona vyombo vya habari kuna wakati vilimwandama sana Rose Muhando. Wakati mwingine unaweza ukazushiwa mambo ya ajabu ajabu. Nibembeleze unibebe unipeleke kwa baba,
mwanamke usiwe mpumbavu kama yule..... KUWA KAMA ABIGAIL
JIPANGE SAWASAWA
MTEULE UWE MACHO, HIZI NI SIKU ZA MWISHO.....
Aisee hapa kwenye FM Academia umenigusa mwanawane...inabidi tuonge vizuri....hawa watu lazima watu tuingie ubia wakija USA!...Hii ni bonge la point ume-make!....
- Mkuu tupo pamoja hapo, hii Album haitakuja kuchuja ni kama ule wimbo wa "Mbongo Endima"(Hela zimeisha) wa Mayaula Mayoni, pamoaj na kwamba ulipigwa miaka karibu 15 iliyopita, lakini mpaka leo bado ni mpya tu.
FMES