Nani zaidi: Rose Muhando vs Bahati Bukuku?

Bukuku alinikera sana kwenye video yake moja aliwaonyesha marehemu wa ajali ya treini kule dodoma.

SIELEWI HAPA UNAKERWA NA NINI?ile ni ajali,na theme ya wimbo inaendana na ile picha.sasa wewe unachokerwa hapa nini?

JENGA HOJA YA MSINGI NYATI!........
 
dgeouff Bukuku amepita katika mambo mengi hasa katika ndoa yake na kuandikwa sana na magazeti ya mlokole shigongo hivyo unaweza kuona hata message za nyimbo kama Esther pale anpomalizia kwa kuwashtaki ma Naamani wanaoodhoofisha huduma zisiendelee mbele, pia katika wimbo 'ukiinuliwa na Mungu juu' hata 'siri ya mafanikio' kwa maoni yangu kama ni kwa maana ya muziki wa injili Bukuku yuko juu zaidi ya rose
 
nyati sikuelewi unakerwa na kuona maiti wa ajali ya dodoma kwenye video ya Bukuku? aah hiyo haiwezi kuwa sababu ya msingi
 
Bukuku alinikera sana kwenye video yake moja aliwaonyesha marehemu wa ajali ya treini kule dodoma.

SIELEWI HAPA UNAKERWA NA NINI?ile ni ajali,na theme ya wimbo inaendana na ile picha.sasa wewe unachokerwa hapa nini?

JENGA HOJA YA MSINGI NYATI!........
 
Jamani tutumieni basi hizo nyimbo zao mpya tuzionege na sisi tuliombali tuchangie ati.
 
Hawa wawil kila mmoja anastyle yake ya kutumbuiza etc kama unapenda utulivu, kuabudu, kutafakari, faraja, etc Bukuku ndio mahala pake...hiyo ndio kazi yake kwa kweli..huyu mama Mungu ambariki sana! Sikiliza au angalia video kama Yehova, Waraka, Ukiinuliwa etc....yaani ka binti kangu ka miaka miwili nikikawekea DVD ya waraka, bac mamake atafanye shughulizake mpake amalize...kenyewe kapo tu na hiyo!

Ukija kwa Rose....naye kama unataka kujirusha fulani na Yesu....huyu mama ni mahala pake kweli kweli...angalia video kama Nibebe, jipange sawasawa, amina, si salama, mbella etc..... ndo maana nyimbo zake nyingi zinapigwa kwenye maharusi, vipaimara, ubatizo etc!

So ukitaka nipige kura, inabidi hawa kinamama wawekwe kny category tofauti na kila mmoja anafanya vizuri kwenye category yake!
 
Rose Muhando ni zaidi kwa upande wangu, maana nikisikia music tu huwa nasimama mwenyewe na kucheza.
Pili nampenda kwa kuwa anaimba kwa hisia.
Jamani kuna mtu Christina shushu huyu naye huwa ananibariki.
 
TUNASHUKURU KWA TANGAZO.

-

HILI NALIKATAA KATA KATA!kwenye maswala ya imani,na umungu hatuna entertainment wala biashara.nausikitikia sana mtizamo wako wa kibiashara kwenye mambo ya mungu.

-

kwenye mambo ya mbinguni hakuna kusifiwa na wazungu,wala kuwajaza minorities.

hapa tunamsifu mungu,na pengine kuutafuta ufalme wa mbingu.


WANA JAMII,TUBUNI.
MRUDIENI MUUMBA WENU.SIKU ZA MWISHO ZIMEKARIBIA,nayale yaliyotabiriwa yameanza kuonekana

- Kama ni kwa mantiki ya udini, basi kichwa cha habari hii kilipaswa kusema nani zaidi wa nyimbo za dini kati ya Rose na Bukuku, kwa sababu pamoja na kumiba kwao dini sijui ni wapi unaweza kwenda kuwaona bure?

- Ni dini na biashara mkuu wangu, umeona Rose anavyotanua siku hizi? Hata zile saloon za bongo kaacha, angalia video zake za mwanzoni na sasa utaona tofauti, kama ni dini wote wanaimba neno la Mungu, sasa neno la Mungu kama ni lile lile, kinachoweza kuwatofautisha ni uwezo wao wa ku- reachout society, kwenye hii line huwezi walinganisha kwa sababu Rose yuko mbali sana.

Hayo tu mkuu.


FMES!
 
Rose Muhando ni zaidi kwa upande wangu, maana nikisikia music tu huwa nasimama mwenyewe na kucheza.
Pili nampenda kwa kuwa anaimba kwa hisia.
Jamani kuna mtu Christina shushu huyu naye huwa ananibariki
.

Ofcourse huyu bibie naye si haba, kuna nyimbo zake kama Unikumbuke, tunakuabudu etc we acha tu.......ukizisikiliza unajihisi uko mitaa ya kwa Sir God vile.....yupo juu as well kwenye nyimbo za kuabudu!
 
Wote wanamsifu mungu kwani mungu alisema nisifuni kwa kuimba na kucheza,kwa vinanda, zeze na baragumu,kwa kelele za shangwe lisifuni jina lake.............
 
Uzuri wa huyu jamaa ANAJUA kila kitu......watu wengine NUKSI?..

Sasa hivi atasema alikuwa anaishi Jirani na Timbarland, subirini.

Heshima yako mkuu,

- Nimesema siku nyingi sana kwamba katika maisha unapokuwa hujui, then huna choice zaidi ya kuwasikiliza wanaojua, wakuelemishe. Ni clear kwamba kwenye maisha tunazaliwa tofauti, wengine tulizaliwa very active na kupitia mambo mengi sana kwa wakati unaotakiwa, na besides hata system yetu ya kiutawala ilikuwa ina-encourage mambo mengi ambayo siku hizi hakuna tena.

- Tumecheza mpira, kuanzia ya shule za msingi, sekondari, vyuoni, na JKT, kwenye haya mashindano ambayo siku hizi hayapo tena, tumekutana na watu mbali mbali na wa kila aina, ambao wengi wao siku hizi ndio viongozi wetu wa taifa, wamiliki wa biashara kuu nchini, maarufu wa shughuli mbali mbali katika taifa, na wengine ni watu wa kawaida, halafu growing up location that is another story of itself. Kuna wakati mmoja mpira wa miguuu ulikuwa ndio deal, wakati mwingine u-DJ ukawa deal, ikaja ubaharia ndio deal, ndio maana tukapata nafasi ya kujaribu kila kitu katika maisha, sasa I can see the problem kwamba wengiwetu siku hizi hatukupata hizi nafasi, kwa hiyo wale tuliopitia tunapotoa our experience tutaendelea kuwa alliens na kwamba tunajua kila kitu. Tatizo sio kuwa jirani na nani, hapana the ishu ni kama unaweza kuoanisha ujirani na ukweli wa hoja unayo-represent.

- Nilipokuwa NYC, nimepiga sana Disco kwenye club as a DJ as part time, huku ninafanya kazi, na kwenda College pia at the sametime, nimetayarisha sana maonyesho ya miziki NYC na hata hapa nilipo mpaka leo ninaendelea once in a while kufanya hizo shughuli za maonyesho, infact sasa hivi ninafanya research ya kuwawezesha FM Academia Wazee wa Mujini, kwenda US baada ya kumaliza ziara yao ya UK, kwa hiyo mkuu wangu rest assured kwamba hudanganywi tunaposema experience, ila ni ukweli mtupu na cha muhimu ni hoja kama inakubaliana na the claimed experience.

- Tunapoingia hapa kujadili mada, huwa tunaingia with confidence and in a serious manner ama sivyo hatugusi kabisa mada kama hatuna anything on it, tunakaa pembeni na kula elimu ya bure kutoka kwa wengine, otherwise samahani sana kwa kukukwaza kutokana na experience mbali mbali tunazoziweka hapa maana mpaka kumuita bin-adam mwenzio nuksi kwa sababu tu mawazo yake hayakubaliani na yako, that is deep, ningekuelewa ungesema jamaaa ni muongo na ushaidi ni huu sawa, lakini ni nuksi na anajua kila kitu ina maana nimekukwaza, kwa hiyo samahani sana mkuu, nilikuwa najaribu tu kuchangia mada kulingana na experience yangu na Muziki, infact betweeen the two yaani Rose na Bahati, I would rather invest on Rose maana italipa no matter what!

Unless kama hukutaka nishiriki kwenye this Mada, ninakuelewa pia, samahani kwa lecture ndefu lakini muhimu sometimes, na tutaendelea kuweka experience zetu inapobidi na pia kuelimika kutoka kwa wengine kama wewe na experience zenu.

Respect.

FMES
 
Jamani tutumieni basi hizo nyimbo zao mpya tuzionege na sisi tuliombali tuchangie ati.

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=89maW4DxP7k]YouTube - ROSE MUHANDO NIBEBE NEW VIDEO JIPANGE SAWA SAWA[/ame]

kwenye hiyo utube, you my type nibebe, nyimbo zake zote mpya zinakuja upande wa kulia.

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=dDxz50s4N6A&feature=related]YouTube - Nimesamehewa[/ame]

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=8mJJu0CXK54&feature=related]YouTube - Heshima Ya Dhahabu-Bahati Bukuku[/ame]

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=J_-u7JfBR78&feature=related]YouTube - MAJARIBU bahati bukuku[/ame]

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=ZnJd31cjPc8&feature=related]YouTube - Siri ya mafanikio[/ame]

nyimbo za bahati hazijafuatana;

Waombeeni , hawa akina dada, hakuna kushindana kwenye nyimbo za injili,

kama uimbaji wa kugusa basi wako wengi sana, kuna akina Shusho, Upendo Nkone......

If Holy spirit leads them, then is neither Bahati nor Rose is GOD to be glorified!
 
- Tumecheza mpira, kuanzia ya sule za msingi, sekondari, vyuoni, na JKT, kwenye haya mashindano ambayo siku hizi hayapo tena, tumekutana na watu mbali mbali na wa kila aina, ambao wengi wao siku hizi ndio viongozi wetu wa taifa, wamiliki wa biashara kuu nchini, maarufu wa shughuli mbali mbali katika taifa, na wengine ni watu wa kawaida, halafu growing up location that is another story of itself. Kuna wakati mmoja mpira wa miguuu ulikuwa ndio deal, wakati mwingine u-DJ ukawa deal, ikaja ubaharia ndio deal, ndio maana tukapata nafasi ya kujaribu kila kitu katika maisha, sasa I can see the problem kwamba wengiwetu siku hizi hatukupata hizi nafasi, kwa hiyo wale tuliopitia tunapotoa our experience tutaendelea kuwa alliens na kwamba tunajua kila kitu. Tatizo sio kuwa jirani na nani, hapana the ishu ni kama unaweza kuoanisha ujirani na ukweli wa hoja unayo-represent.

Preach mwanawane!...True true experience matters...Huwezi ukapitia kwa msuguri alafu ukawa lelemama.....Chuuuuuuuuuurch!!!!!!!!!!!!!!!


- Nilipokuwa NYC, nimepiga sana Disco kwenye club as a DJ as part time, huku ninafanya kazi, na kwenda College pia at the sametime, nimetayarisha sana maonyesho ya miziki NYC na hata hapa nilipo mpaka leo ninaendelea once in a while kufanya hizo shughuli za maonyesho, infact sasa hivi ninafanya research ya kuwawezesha FM Academia Wazee wa Mujini, kwenda US baada ya kumaliza ziara yao ya UK, kwa hiyo mkuu wangu rest assured kwamba hudanganywi tunaposema experience, ila ni ukweli mtupu na cha muhimu ni hoja kama inakubaliana na the claimed experience.

Aisee hapa kwenye FM Academia umenigusa mwanawane...inabidi tuonge vizuri....hawa watu lazima watu tuingie ubia wakija USA!...Hii ni bonge la point ume-make!....
 
, infact betweeen the two yaani Rose na Bahati, I would rather invest on Rose maana italipa no matter what!

.

FMES

Yes sir, those are worldly music, they have nothing to do with God's kingdom.

In spiritual kaka uko shallow! is neithe Rose nor Bahati, is Holy spirits that works with them(if any). I dea yako ya kuinvest you are thinking of money may be.

Ki-Mungu,good music is the one that can touch and changes people! and is the one that Himself leads through Hol spirit!

Nyimbo au kujua muziki is not God's Lucifer alikuwa anajua nyimbo na hakuna kama yeye katika uimbaji, lakini ....unajua what happened!

Jamani kwenye nyimbo za upande wa huku, hatucompei!!!!!!!!!!!!

kwa sababu mko kimwili, basi kila kitu kwenu kimwili, mkimaliza hapa mtaanza nani mzuri!
 
Yes sir, those are worldly music, they have nothing to do with God's kingdom.

In spiritual kaka uko shallow! is neithe Rose nor Bahati, is Holy spirits that works with them(if any). I dea yako ya kuinvest you are thinking of money may be.

Ki-Mungu,good music is the one that can touch and changes people! and is the one that Himself leads through Hol spirit!

Nyimbo au kujua muziki is not God's Lucifer alikuwa anajua nyimbo na hakuna kama yeye katika uimbaji, lakini ....unajua what happened!

Jamani kwenye nyimbo za upande wa huku, hatucompei!!!!!!!!!!!!

kwa sababu mko kimwili, basi kila kitu kwenu kimwili, mkimaliza hapa mtaanza nani mzuri!

- Mkuu sometimes na wewe huwa tunajuta kukufahamu, yaani uansema kwamba kujua au kutokujua nani zaidi kati ya Rose na Bahati, ndio tiketi ya kwua spiritual guru na kukubalika spiritually, mbele ya Mungu? Duh basi mimi simo labda nibaki na ushallow wangu spiritually, yaani Rose anayechukua zawadi za Tanzania Breweries, anaweza kuwa spiritual kuliko mimi ninayejaribu kuwapima kutokana na talents zao? Haya bwana.

Respect.

FMES.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom