Mars Rover
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 338
- 140
Siyo kweli, kuna nchi nyingi sana pioneers wa innovation kama vile Finland, Norway, Sweeden, Germany, South Korea na UK. US inasikika masikioni mwa watu wengi kwa sababu ya Hollywood effect, FOX News effect na propagandists wengine weengi wanaoipa Marekani sifa wasizostahili. US ni taifa kubwa lenye shida nyingi sana, umasikini, ukosefu wa maji, uchumi unaokufa na majanga mengine ya kibinadamu.Asimia 80% ya new innovation inaanzia USA ndiyo inaenda sehemu nyingine duniani ikiwemo Japan. USA sio wa kushindanisha na Japan kwenye technology au innovation
Hizi ni conspiracy mkuu hazina ukweli wowote, UK na US ni washirika wa Israel tu. Hakuna jingineUsa na Uk wamelitengeneza taifa fake la Israel ili tu kujihami na waarabu pande zile
I.Q siyo tatizo mkuu, Wahindi na Wachina wana wastani mkubwa sana wa IQ duniani. Ili teknolojia ifanye kazi inahitaji mtaji wa utafiti na majaribio, unapozikutanisha US na Japana wote hawa wana mitaji ya kutosha kwa ajili ya kuendeleza teknolojia zao.Japan wana I.Q-duniani kuwazidi hao Usa. Sasa mtu aliyekuzidi IQ sio mwenzio. Conclusion-japan wapo vizuri zaidi.
So fuckin right kbsSiyo kweli, kuna nchi nyingi sana pioneers wa innovation kama vile Finland, Norway, Sweeden, Germany, South Korea na UK. US inasikika masikioni mwa watu wengi kwa sababu ya Hollywood effect, FOX News effect na propagandists wengine weengi wanaoipa Marekani sifa wasizostahili. US ni taifa kubwa lenye shida nyingi sana, umasikini, ukosefu wa maji, uchumi unaokufa na majanga mengine ya kibinadamu.
Hii ni kama ile dhana ya kuwa US ni nchi tajiri duniani ambayo siyo ukweli.
Maybe [emoji4] [emoji4]Japan wana I.Q-duniani kuwazidi hao Usa. Sasa mtu aliyekuzidi IQ sio mwenzio. Conclusion-japan wapo vizuri zaidi.
Kuna ukweli japo sio Israel kama nchi bali raia wenye asili ya Israel waishio Marekani ndio hasa wanayoiinua Marekan kiteknolojiaJe nikweli kwamba marekani inamtegemea israel kisayansi
Haijalishi mkuu, Internet ni sehemu ndogo sana ya teknolojia kwa ujumla, ni kama dunia kwenye Milk Way Galaxy. Teknolojia ni pana sanaAliegundua internet ni USA Sasa na consumer electronics za japan znatumia internet nani mbabe Kat yao
From Web? Wengi wa hao waandishi wapo biased au huegemea upande mmoja.