curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,588
Kwo unaimanisha kuwa japan ni wataharamu wa vifaa vya umeme tu.mkuu inategemea na sector gani unagusia mfano vitu kama gaming, animation, memory, camera, magari etc japan wapo juu vitu kama software (operating system), social networking, ndege, processor, etc usa wapo juu.
mi nimekutajia vitu ninavyovifahamu hayo mambo mengi wanaojua watachangiaKwo unaimanisha kuwa japan ni wataharamu wa vifaa vya umeme tu.
Labda ungeliweka vizuri swali lako. Vifaa vya umeme vinaweza kuwa ni mjumuiko wa teknolojia nyingi tu.Kwo unaimanisha kuwa japan ni wataharamu wa vifaa vya umeme tu.
unamaanisha nini unaposema marekani wamegundua digital? una reference?Labda ungeliweka vizuri swali lako. Vifaa vya umeme vinaweza kuwa ni mjumuiko wa teknolojia nyingi tu.
Vilevile teknolojia ya umeme peke yake inaweza kuwa ya kizamani kama haitahusisha digital technology.
Pia kwa mfano, magari kuna driverless, electric etc... Lkini gari likawa ni "technological device" rather than a technology.
Tecnolojia inayotawala sasa hivi ni digital ambayo imegunduliwa States. Hii teknolojia ipo kwenye viwanda mbalimbali, lakini hii haimaanishi kuwa viwanda hivyo ndiyo vimegundua hiyo teknolojia.
Hili nakubalimkuu inategemea na sector gani unagusia mfano vitu kama gaming, animation, memory, camera, magari etc japan wapo juu vitu kama software (operating system), social networking, ndege, processor, etc usa wapo juu.
hio sikweli sematu watu weng wanasema hvyo kwakuwa makampun meng yanayofanya shughuli za teknlojia ya juu huko US yanamlikiwa na wayahudi lakin sasa hawa wayahudi ni wamarekani kwahio si sahihi kusema US wanaitegemea israel kwe tech but vice versa is trueJe nikweli kwamba marekani inamtegemea israel kisayansi
si kweliBila Israel Marekani hamna technologia
Digital computer, 1937 Iowa State University Lab.unamaanisha nini unaposema marekani wamegundua digital? una reference?
ninavyofahamu programmable computer ya kwanza kabisa duniani imegunduliwa na mjerumani anaeitwa Konrad ZuseDigital computer, 1937 Iowa State University Lab.