na design sio kujua design ni kipaji. unaweza jua tumia software zote na output yako ikawa mbovu. na mwengine hata mouse hajui kushika lakini akimwelekeza tu mtu anatoa kitu kizuri.
kwa experience yangu madeveloper wengi sio madesigner na developer anapoingia kwenye ubishi huu basi anataka na yeye kudesign mwenyewe (sababu ame ignore kazi ya designer) hii inasababisha muonekano wa kazi ya developer kuwa sio mzuri na kazi yake kutofanikiwa. na designer naye anapopata kichwa anataka adevelop wakati si kazi yake mwisho wa siku anatoa kitu na bugs kibao
nenda store za app store, play store na wp store angalia vitu kama temple run game bovu zaidi kupata kutokea (kicode) lakini linapendwa dunia nzima.
designing ingekua kipaji then watu wangekua hata wakijifunza vipi hawawezi, acha nikupe mfano halisi, nilikua sijui kabisa kudesign, my first ever client alinipa kazi ya web designing nikamtafuta mshikaji wangu aliyekua anadesign websites nikampa hiyo kazi anisaidie, mteja aliipenda website lakini mimi nikawa naona kama sio nzuri,kwa sababu i was trying to compare it with the best websites nazoziona online, so nikaamua kujifunza kwa kutumia internet, i went through a lot of design blogs, learned everything i possibly could hadi nikajua ku design, then nikajifunza kudesign kwa kutumia cms, i started with wordpress mpaka nikaweza, programming pia sio kipaji hata DHH, anasema there's no such thing as a pure programmer. Kila kitu ni kujituma tu hakuna kipaji wala nini, mfano (from March this year to June nimejifunza a new programming language mpaka nimeiweze, mwenye just by using the internet) its not rocked science my friend, its just hard work.
A big problem most developers make is ignoring the designing part thinking its for weak people, there's a reason javascript haikua inaheshimika, ni kwa sababu programmers used to think its not important because its for designers, lakini sasa hivi, ukimuuliza mtu yoyote ambaye ni software developer kuhusu javascript atakuambia ni muhimu sana kuijua especially kutokana na these libraries like (Node js, backbone, angular, ember etc).
mkuu sjasema programing ni kipaji, kila mtu mwenye uwezo wa kukariri anaweza kuwa programmer nazungumzia design ndo kipaji.
unaweza ukamaliza kozi zote za design ukajua photoshop, illustrator, after effec na vitu vyote lakini output ikawa mbovu. watu mtaani tunao na tunawaona.
kwa case yako wewe unaweza ukawa ulikua na kipaji ila mwenyewe hujijui kama una kipaji halafu elimu ikakusaidia kugundua kipaji chako basi ukadhan elimu inakupa kipaji
Hongera mkuu kwa kuwa na uwezo wa kudesign themes zako.... Kama hautojali naomba nione kazi zako ulizodesgn theme zako za wordpress kuna kitu namimi naweza nikajifunzaMimi ni web developer so i know what i'm talking about, i have used both wordpress, drupal and now i use expressionengine which in my opinion is the best cms out there and i also code when necessary.
Hongera mkuu kwa kuwa na uwezo wa kudesign themes zako.... Kama hautojali naomba nione kazi zako ulizodesgn theme zako za wordpress kuna kitu namimi naweza nikajifunza
Mkuu nilikuwa namheshimu sana chief-mkwawa hapa kwenye hili jukwaa lakini baada ya kusema programming ni kukariri badala ya kuelewa logic nimemdharau mpaka mwishoKuna tofauti kubwa sana kati ya kusomea kozi na kupata cheti na kujua kufanya kitu, hao ulionao mtaani ambao wamesomea kozi lakini output mbovu ni kitu cha kawaida. IT sio cheti, IT ni kuweza kufanya kitu period!, watu wengi wanasomea kozi hizo wanatafuta vyeti tu, kama upo serious you need to get your hands dirty and learn mwenyewe.
And by the way programming is not cramming, its just understanding logic, kama unafikiri programming ni cramming then you sir are very wrong.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusomea kozi na kupata cheti na kujua kufanya kitu, hao ulionao mtaani ambao wamesomea kozi lakini output mbovu ni kitu cha kawaida. IT sio cheti, IT ni kuweza kufanya kitu period!, watu wengi wanasomea kozi hizo wanatafuta vyeti tu, kama upo serious you need to get your hands dirty and learn mwenyewe.
And by the way programming is not cramming, its just understanding logic, kama unafikiri programming ni cramming then you sir are very wrong.
Mkuu nilikuwa namheshimu sana chief-mkwawa hapa kwenye hili jukwaa lakini baada ya kusema programming ni kukariri badala ya kuelewa logic nimemdharau mpaka mwisho
Mkuu nilikuwa namheshimu sana chief-mkwawa hapa kwenye hili jukwaa lakini baada ya kusema programming ni kukariri badala ya kuelewa logic nimemdharau mpaka mwisho
i don't design wordpress themes anymore, ila kama nikiwa na mteja ambaye specifically anataka wordpress ndio iwe cms yake i can do it, sasa hivi natumia expressionengine kwa sababu its fast to work with it. Same reason people prefer to use ruby on rails over php, its faster to create web apps with it than php(which most rails developers we think it is evil),my advice, kama unataka ku design wordpress theme, first design the website(ie in html,css,js etc) make sure it looks nice before it is even a wp theme, then use the wp loop to embed the wp stuff, its easier than u think na kama unahitaji tips, i can help any time, just email me (i wont charge to help you anyways)
Ha ha haaa!!! Imebidi nicheke kwa kweli.
Ha ha haaa!!! Imebidi nicheke kwa kweli.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusomea kozi na kupata cheti na kujua kufanya kitu, hao ulionao mtaani ambao wamesomea kozi lakini output mbovu ni kitu cha kawaida. IT sio cheti, IT ni kuweza kufanya kitu period!, watu wengi wanasomea kozi hizo wanatafuta vyeti tu, kama upo serious you need to get your hands dirty and learn mwenyewe.
And by the way programming is not cramming, its just understanding logic, kama unafikiri programming ni cramming then you sir are very wrong.
Correction Sir. Ili uwe programmer mzuri lazima kwanza uilewe na uikariri. Kama programming sio kukariri basi njoo nikusimulie programming kama hadithi halafu nikupe kazi ya kuchapa code tuone kama utaweza.
programming ni kukariri badala ya kuelewa logicSiku zote anayepinga au kukubaliana na kitu flani lazima awe na sababu zinazomfanya apinge au kukubaliana na kitu hicho. Unaweza kutoa maelezo kwa nini hukubaliani na chief-mkwawa?
mkuu hapo kenye red heb recommend sites/forums/au books ambazo zitatusaidia na kuwa kam wewe mpiga msuli.