Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
wordpress, kwa kila sekta
Nashukuru Mkuu. Naombeni na wengine mje humu jamani nataka kumtumia mtu hizi cooment zenu. Thanks.
mwambie kuchapa code by hand ndo mpango... hizo tools zinalemaza
isije kuwa vice versa is true
hujui unachokiongea blazaaaaunamanisha nn mkwawa? m2 ambaye amezoea kutumia website builder akipelekwa kenye code anaumbuka vibaya...
m2 wa code hata kwa akina wordpress anakimbiza kwan anajua what happenig behind d scene.
unamanisha nn mkwawa? m2 ambaye amezoea kutumia website builder akipelekwa kenye code anaumbuka vibaya...
m2 wa code hata kwa akina wordpress anakimbiza kwan anajua what happenig behind d scene.
watu wengi mnaojifanya mnatengeneza kwa kutumia wordpress / joomla / drupal etc hapa bongo (almost all of you) hamna zaidi mnachofanya zaidi ya kudownload themes za watu wengine na na kuweza content then mnasema eti mna design, c'mon we need to be serious, kama umeamua kudesign iwe professional yako put in some work.
I agree with that guy anayesema kujua kucode is better than using those tools ingawa sikubaliani naye kabisa kwa sababu sometimes to handcode a website could be an overkill, its like unataka kuua mende na nyundo while you have tools like wordpress etc ambazo zinaweza fanya kazi yako kwa urahisi.
My advice, learn how to design, then kama unataka kutumia wordpress learn how to use your own theme, usidownload. Mimi ni web developer so i know what i'm talking about, i have used both wordpress, drupal and now i use expressionengine which in my opinion is the best cms out there and i also code when necessary.
To answer your question:- Wordpress vs Drupal, when it comes to power / capability drupal is more powerful than wp however wordpress is easy to use and has a very nice backend but you need to hack it sana ili uweze kuifanya iwe kama full cms, and you can acomplish basic tasks hata kama haujui php sana. Drupa is more of a cms than wp
mwambie kuchapa code by hand ndo mpango... hizo tools zinalemaza
Mimi nlijisomea html5 na css nlipata shida sana kutengeneza site from scratch now natumia wordpress its better, knowledge ya code inasaidia kama una mambo extra of which most yameshakuwa covered na wengine kwenye community. Kujua code mbwembwe tu labda kama unafanya programming.
hapa mnagombana watu wawili madesigner na madeveloper ubishi huu ni mkubwa kama wa simba na yanga upo kila pande ya dunia na hauishi bora tu muwe na subira kila mtu apotezee.
then nyie mnaocode sisi tunaodesign kuna vitu tunahitaji na sio kufundishwa namna ya kutengeneza site hio ni kazi yetu. tulirequest mfumo wa MPESA mtu atengeneze ili uweze kuunganishwa na website watu waweze kulipia ila mpaka leo naona kimya.
Hakuna kitu developers wanajuta kama wakiwa hawajui designing. Designing is very important hata kama you are a java/php/ruby developer, if you need to make a good software lazima ujue how to design first otherwise itabidi utafute mtu wa design umlipe (shida sasa designers ndio hawa)