Nani zaidi kati ya Ray C na Lady Jaydee?

Nani zaidi kati ya Ray C na Lady Jaydee?

Ray c alikuwa mashairi mazuri yenye maudhui chanya hususan za kimapenzi, ila video zake zilikuwa hazina stara huwezi kutizama ukiwa na watoto au baba nkwe. Lady jd yeye mashairi yake mengi inahusu mikasa ve- mashairi ambayo hayana kadhia hiyo ni zile nyimbo ambazo aidha amefanya collabo au za wengine kama vile muhogo wa jang'ombe nk. kwa upande wa video sio mbaya sana. nb kulikuwa thread humu jf ikiuliza kwa nini mashairi mengi ya jd yanahusu hudhuni hudhuni..Kwenye utamu wa sauti ray c yuko juu ukilinganisha na jd
 
Kama Ray C yumo humu huu uzi ataona umempa heshima ambayo hakuitegemea! Yaan Ray C kwa Jide!!??
 
Comparison ya Jaydee na Ray C????? kwa lipi?hits nyingi???collabos nyingi???mafanikio ya Muziki???vyote hivyo Jide yupo far miles...kuhusu sauti bado Jide yupo mbali sana labda urembo na viuno feni ndo huyo Ray C atashinda na si vinginevyo.
 
Hata viuno vya Ray C viko overrated!
 
Back
Top Bottom